Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hapo ndo mnapokosea sasa! Badala adeal na mtu wake anadeal na jamaa. Ukute jamaa aliambiwa yuko single
hahaha hata watu waliokuja kuhamua walisema hivo hivo lakini msela haamini anazidi kumkaba tu mwenzie ilibaki kidogo amuue[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app