Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

kama wewe na huyo jamaa ni maintrovert, basi hata Humphrey slow slow nae atakua introvert hehee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Mkuu siku ukinisikia ninavyoongea hutaanmini kama Ni mimi huyu ninayeandika hapa.
Ila jamaa ana mashairi hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio na usichepuke tuu, maana kuchepuka inaumiza,leo nimeangalia clip fulani jamaa amemfuma mke wake na baharia chumbani, jamaa akaanza kumnyonga yule baharia kwa kumpiga loba🤣


Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo mnapokosea sasa! Badala adeal na mtu wake anadeal na jamaa. Ukute jamaa aliambiwa yuko single
 
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] mwee nimeona comments za baadhi ya watu niliowahi kuwapa hayo majibu, nikiyaandika hapa watajijua ni wao daah.

na hakuna kitu kibaya hapa duniani kama kusemwa na mwanamke uliyemtongoza, imewahi kunitokea zamani ila mpaka leo namchukia sana yule mtu japo hakusema kwa nia mbaya maana alikua anapiga stori tu na rafiki zangu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom