Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja na mm Leo nijarb humu, bahati mbaya hua sirudishi majeshi nyuma hats uniambie mchawi/mganga.
Usihof mkuu najaribu kupigania masilah ya umoja wa waenda pm JfHizi ni stori tu za vijiweni mkuu, don't get twisted.!
Kuna suala muhimu kuliko K?Ghaaaiiii,
I can stand for them on this, siyo wote..! Wengine huja kwa masuala ya muhimu zaidi.!!
mkuu utakua ni mfuasi wa ile mitandao pendwa, mtu wa kawaida ni vigumu kujua hilo nenoπ we ni mzee wa BRAZZELS nk
Wakurungwa wana roho ngumu sanaa toka 2017 anakimbizia tu π πsisi wanaume bana, huwa ninatumia Acc ya Girl wangu ya Insta kuangalia picha basi huwa naona texts za mijamaa inazomtumia nashangaa sana, kuna mmoja toka mwaka 2017 anatuma tu texts na hajibiwi za kuomba namba na kutongoza
Hi guys,
Hivii huwa mnakutana nahizi sarakasi ama hizi ni kwa ajili yetu tu sisi wabarikiwa?
#nohardfeelings# tupunguze tu stress za corona,
Stay safe guys..!!
sana mkuuπ, mrembo mrembo nyingi sana na majina matamu, yani mambo mengine ni aibu tupu aiseWakurungwa wana roho ngumu sanaa toka 2017 anakimbizia tu π π
Haikumaanisha sijaridhika mkuu nadhani umenielewa vibaya nilimaanisha kwamba kumbe kuna watu ambao pm zinaflow kama customer care wakat wengine tupo humu kwa ajili ya kupata habari tu. Anyway hongera sana mkuu kuwa na hot pmMkuu kama PM ikifanya kazi wakati Acc yako ya Bank haifanyi kazi it won't do you any good.! Ridhika na khali yako.!!
Wewe unawadanganya wenzio ili wawe gume gume kama wewe sioDawa yao ndo hio mwembe uwe uleule
mkuu utakua ni mfuasi wa ile mitandao pendwa, mtu wa kawaida ni vigumu kujua hilo neno[emoji23] we ni mzee wa BRAZZELS nk
Busara zakoNashukuru mjukuu wangu.!
Nini kimekufanya unielewe.!?
πππ sina cha kuwashauri wajiongeze wenyewe.Sasa mkuu heb washauri wafanyaje maan wakiondoka mnawasema wakibaki mnawasema [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema gumegume kama mama [emoji4][emoji4]ako sio mmWewe unawadanganya wenzio ili wawe gume gume kama wewe sio