Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Huwa nikiona msg za namna hiyo huwa napata somo kuwa siku ya kumuwacha bibie basi kuna wakurungwa wanaenda kupewa nafasi adimu wanayoililia kila siku, kwenye ground competition ni kubwa sana chief!

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha sanaa, wakurungwa sio watu wazuri kabisa wamejaa insta na FB
 
Kazi yangu niliyojipa ni kukupa likes tu mdogo wangu mleta uzi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Vp lakini hujafikiria watajisikiaje wakipita hapa?
πŸ˜‚ πŸ˜‚
Ahsante dada angu mzuri, nitakuja siku moja kukusema wewe hapa na hutokaa ujue kuwa ni wewe dada, hata baada ya miaka 100,
You raise no fool.!!
 
2017
Yeye:"Ujue wewe miminimkulimaakachekasana ni muongo πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„"

Mimi:"Kwanini mrembo?"

Yeye:"Wewe sio mkulima kama unavyodanganya watu.Ujue kuna uzi mmoja uliweka namba yako ya simu,nikacheki whatsapp mpaka jina lako najua na ig yako naijua"

Mimi:"Mkuu dah sawa umenishika,lakini ujue hata Behaviourist sio muumini wa 🐸 ni utani tu"

Yeye:"pumzika kesho nitakucheki"

2021

Nashukuru JAMIIFORUMS kwa kunisaidia kupata Jiko

Nashukuru JAMIIFORUMS kwakunisadia kupata mke(edited by mods)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…