Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Huwa nikiona msg za namna hiyo huwa napata somo kuwa siku ya kumuwacha bibie basi kuna wakurungwa wanaenda kupewa nafasi adimu wanayoililia kila siku, kwenye ground competition ni kubwa sana chief!

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha sanaa, wakurungwa sio watu wazuri kabisa wamejaa insta na FB
 
2017
Yeye:"Ujue wewe miminimkulimaakachekasana ni muongo 😄😄😄"

Mimi:"Kwanini mrembo?"

Yeye:"Wewe sio mkulima kama unavyodanganya watu.Ujue kuna uzi mmoja uliweka namba yako ya simu,nikacheki whatsapp mpaka jina lako najua na ig yako naijua"

Mimi:"Mkuu dah sawa umenishika,lakini ujue hata Behaviourist sio muumini wa 🐸 ni utani tu"

Yeye:"pumzika kesho nitakucheki"

2021

Nashukuru JAMIIFORUMS kwa kunisaidia kupata Jiko

Nashukuru JAMIIFORUMS kwakunisadia kupata mke(edited by mods)
 
Back
Top Bottom