Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

[emoji16] Wanakuwa na bashasha kweli ila ukimpa mawili matatu ndivyosivyo tofauti na alivotegemea lazima asepe! Lakini ndo vizuri maana maswali mengi kama unajaza fomu ya Nida bhana!.
Sasa mkuu heb washauri wafanyaje maan wakiondoka mnawasema wakibaki mnawasema [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nikiamua kukupata siji hata piemu!
Naenda kwa mshana!,akinyoosha litunguli lake nakuona kwenye litvii la ukutani,litivii la kitambaa chekundu[emoji12]
Akinipa li hirizi linalopumua nikija huko piemu hupumui nakuchukua kama mtoto mbele ya pipi..!
Watakukosa waliokosa mbinu mbadala ila tulionazo na tunaojua tunaishi kidogo na kufa kwingi lazima niutumie huo muda mchache kula vingi[emoji12][emoji12]

Just a joke [emoji115][emoji115]

Lakini kwanini unawajibu hovyo..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni sana ambao pm zenu zinafanya kazi wengine toka tufungue account miaka sasa zipo vile vile Kama tulivyokabidhiwa account na jf hata salamu tu kutoka kwa moderators hakuna🤔🤔
Mkuu kama PM ikifanya kazi wakati Acc yako ya Bank haifanyi kazi it won't do you any good.! Ridhika na khali yako.!!
 
Back
Top Bottom