Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

[emoji23][emoji23][emoji23] sina cha kuwashauri wajiongeze wenyewe.
Akitaka kupotea mazima na apotee, akiridhika na chochote atakachojibiwa na aridhike iwe kweli au si kweli.
Hakuna sekta wadada mnavimba kama haka kasekta ka kutongozwa huwa mnamaliza hasira za kutendwa zote[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni sana ambao pm zenu zinafanya kazi wengine toka tufungue account miaka sasa zipo vile vile Kama tulivyokabidhiwa account na jf hata salamu tu kutoka kwa moderators hakuna🤔🤔
Mi mwenzako kuchangamsha pm huwa nawachek chek mods wanibadilishie ID..basi hapo mpaka Melo mwenyewe na chat nae..
Ahahahahahahabahanajaj
 
Mi nikiamua kukupata siji hata piemu!
Naenda kwa mshana!,akinyoosha litunguli lake nakuona kwenye litvii la ukutani,litivii la kitambaa chekundu😜
Akinipa li hirizi linalopumua nikija huko piemu hupumui nakuchukua kama mtoto mbele ya pipi..!
Watakukosa waliokosa mbinu mbadala ila tulionazo na tunaojua tunaishi kidogo na kufa kwingi lazima niutumie huo muda mchache kula vingi😜😜

Just a joke 👆👆

Lakini kwanini unawajibu hovyo..?
Haha.!
Kuliko ubunu hiyo mbunu, it's better utumie ile yako yenye mistari mikali na madini ya kutosha.!!

Kuhusu swali lako, 'Life ain't that serious and complicated always rafiki..!
 
sana mkuu[emoji23], mrembo mrembo nyingi sana na majina matamu, yani mambo mengine ni aibu tupu aise
Huwa nikiona msg za namna hiyo huwa napata somo kuwa siku ya kumuwacha bibie basi kuna wakurungwa wanaenda kupewa nafasi adimu wanayoililia kila siku, kwenye ground competition ni kubwa sana chief!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom