Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,955
we madheee ni mtu mubaya sana...sasa mbona huwa hukunjangi jukwaani kwetu???
ati umbe wee ni mkeyiii?!?!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we madheee ni mtu mubaya sana...sasa mbona huwa hukunjangi jukwaani kwetu???
twende sasa shosti
Mekusubiri wee mpaka nkapitiwa usingizi.... Hebu ngoja ninywe chai twende!!!!
jukwa la wakubwa, na sijaingia kwasababu sijui linapatikana wapi, mwenye link please!
mu inbox invisble umwombe akuingize,karbu kwenye familia yetu.
hili la wasio na kazi(CC)ndo nimeingia sasa baada ya kuona heading
BAN FORUM humo hata sitaki kujua kukoje!!
Kwan lipo???jukwaa la wakubwa,na sitegemei kuingia huko.
Hujawahi kuliona?Kwan lipo???
NdioHujawahi kuliona?
Kwani wewe na jf nani mkubwa? Eti tangu uzaliwe au tangu izaliwe?Hivi wewe ni jukwaa gani humu JF hujawaihi kuingia tangu uzaliwe yaani ukiliona unaliogopa sana au hupendezwi nalo.
Mimi mwenzenu Jukwaa la Lugha na Siasa