Hivi ni jukwaa gani humu JF hujawahi kuingia tangu uzaliwe?

Hivi ni jukwaa gani humu JF hujawahi kuingia tangu uzaliwe?

mi ni CC,MMU,afya,na la jokes...mengne sijawah kabsa..ila leo ndo nimeona ktk comments kua kuna jukwaa la wakubwa..
 
Mekusubiri wee mpaka nkapitiwa usingizi.... Hebu ngoja ninywe chai twende!!!!

hehehheeee pole!!! nilikwama kwenye treni ya mwakye'he!!!...........mie nasubiri supu ya kongoro nizimue then unistue twenzetu.........chai njema!!!
 
jukwa la wakubwa, na sijaingia kwasababu sijui linapatikana wapi, mwenye link please!
 
Mengi sana kwa kuyataja kwa uchache
1. Siasa
2. Elimu
3. Celebrity
4. Dini
5. Wakubwa


Na kuendelea orodha ni ndefu sana .....
 
jukwa la wakubwa, na sijaingia kwasababu sijui linapatikana wapi, mwenye link please!

mu inbox invisble umwombe akuingize,karbu kwenye familia yetu.
 
Mi sina jukwaa nlokua sijawahi kuingia.

Lkn napenda zaidi, siasa, intelligence, habari na hoja mchanganyiko, international, jf doctor na celebrities
 
Dini.

Majukwaa mengine niliyoyataja hapo juu #46 nimeshayafanyia ziara vya kutosha, ispokuwa Wakubwa tu, nilikuwa nikichungulia mara moja moja kunapokuwa kuna skendo ya watu watu wenye majina makubwa, kwa mfano Mwanasiasa nk
 
Hivi wewe ni jukwaa gani humu JF hujawaihi kuingia tangu uzaliwe yaani ukiliona unaliogopa sana au hupendezwi nalo.

Mimi mwenzenu Jukwaa la Lugha na Siasa
Kwani wewe na jf nani mkubwa? Eti tangu uzaliwe au tangu izaliwe?
 
Back
Top Bottom