Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Ajabu kubwa.Mababu wadada wawili tu umekuja kujudge kabila zima?
Hiyo sio mara ya kwanza kukutana na situation hiyo kwa wanawake wa kirangiMababu wadada wawili tu umekuja kujudge kabila zima?
Kama wapo hvo warangi, basi hawawez kuishi na mwanaume wa kanda ya ziwa victoria.Wanawake wa kirangi hupenda kuwa watawala ndani ya nyumba!na wengi Wana mechanisms ya kufanya hivyo kupitia mabibi,mashangazi na mama zao!inahitajika nguvu kubwa hasa ya kiroho ili kuwa sauti ndani ya nyumba!!
Ukizingua wanachukua watoto na kupeleka kwao!hawataki uishi nao wewe!