Hivi, ni kipi Kenya inaweza ikapoteza tukifungiana mpaka na Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mara nyingi tumetishiwa nyau na Watanzania kwamba tukifungiana mipaka, Wakenya tutaishia kuangamia maana tunaambiwa tunaihitaji Tanzania kwa hali na mali. Hivyo sasa hii imewapa Watanzania uhuru wa kudhihirisha chuki zao na kutuwaza kila siku.
Imewapa jeuri Watanzania ya kuibuka na kila aina ya sera za chuki dhidi yetu, Watanzania wote wameamishwa hizi chuki na kuwekwa kwenye mazingira ya kuamini kwamba nchi yao ndio hewa tunayoipumua leo, ilhali serikali yetu dhaifu ipo kimya hawajibu kwa lolote. Sasa nawaomba wachumi nguli mtusaidie kudadavua na kubaini nini ambacho tunaweza kupoteza tukipeana talaka na Watanzania kama ilivyotendeka awali maana sio mara ya kwanza kufungiana mpaka.
Ni kweli kuna vitu tutapoteza, lakini pia katika biashara lazima ukubali hasara haswa kwa wadeni jeuri "doubtful debts", au pia huruhusiwa kuachia wateja ambao japo unanufaika na biashara yao lakini wanakukwamisha kwenye mengine mengi.

Binafsi kwa mahesabu ya haraka
- Katika mataifa ambayo tunauza bidhaa zetu, Tanzania imechukua tu nafasi ya asilimia 10% hivyo, asilimia zingine 90% tunauza bila kuwategemea. Kenya imetumia nguvu nyingi sana kupata masoko kwenye mataifa tofauti duniani, leo hii hata KQ inapaa moja kwa moja kwenda Marekani.
- Likija suala la uhusiano baina ya raia wetu, ukweli ni kwamba takwimu huonyesha kwamba Watanzania wengi ndio wanakuja Kenya zaidi ya Wakenya wanaokwenda Tanzania, haswa ukizingatia sera zao dhidi ya Wakenya, ina maana hao Wakenya wachache waliopo huko kwao hawanufaiki pakubwa sana kihivyo, ilhali wao wamejaza Watanzania wao kwa maelfu huku Kenya, na wengi hawana umuhimu wowote huku bali omba omba tu.
- Tofauti baina ya uchumi wa Kenya na Tanzania inazidi kuongezeka, yaani Kenya inazidi kuiacha Tanzania kwa mbali, kuna miaka ya awali tofauti yetu ilikua dola bilioni mbili za Kimarekani, leo hii tofauti imezidi dola bilioni 30, yaani ukiunganisha Uganda, Burundi, Tanzania bado hautakua umetufikia. Tofauti inaendelea kuongezeka.
- Tuna miradi mikubwa inaendelea Kenya kwa leo yaani kuitaja humu nitaishia kujaza server za watu bure.

So kwa kifupi, Kenya yetu kainchi kadogo na nusu yake kame tupu, hatuna madini lakini uwezo wetu upo kwenye nguvu kazi ya watu wetu na kujituma, hicho ni kitu hatuwezi kukipoteza na ndio kimetuwezesha kutawala ukanda wote huu kiuchumi, kijeshi, kielimu n.k.
 
[emoji1784]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikitokea kitu kama hicho hali itakua mbaya saana maana kenya mnaitegemea tz kwa chakula.mpaka ukifungwa ina maana
a) mahindi hayatakuja kenya
b)vitunguu
C)Machungwa
d)Mashudu
e)Mbuzi
f) Asali
g) Mashudu
h) Ngwala
i)Mbao
j) Viazi vya chips
k) Makaa ya mawe
l) Karatasi toka mgororo
m) Mchele
n) nk nk nk

Hali itakua tete sana huko!
 
Hahaha fungeni mipaka kabisa! Binafsi ,sina cha kupoteza. I don't put Tanzania in my mouth.
If Tanzania is the air that we breathe, then Kenyans would have suffocated a long time ago!
 
Mnaongea kishabiki shabiki tu lakini hamjua hali halisi!
 
Ikitokea kitu kama hicho hali itakua mbaya saana maana kenya mnaitegemea tz kwa chakula.mpaka ukifungwa ina maana
a) mahindi hayatakuja kenya
b)vitunguu
C)Machungwa
d)Mashudu
e)Mbuzi
f) Asali
g) Mashudu
h) Ngwala
i)Mbao
j) Viazi vya chips
k) Makaa ya mawe
l) Karatasi toka mgororo
m) Mchele
n) nk nk nk

Hali itakua tete sana huko!

Leta na takwimu kabisa kwa jinsi gani tunanunua hivi vitu kutoka kwenu na mkifunga mpaka tutaangamia, maana kwa mfano kuna vipindi kwenu mnakua na njaa kiasi cha kutoweza kuuza hayo mahindi nje, tunaagiza kutoka mataifa mengine na tunaendelea na maisha tu bila kuangamia.
Ikumbukwe pia hamtupi bure wala kama misaada, hivyo tukifungiana, mtaishia na bidhaa hizo zikiozea huko na kwamba sisi tutanunua kwengine kama ilivyo mazoea kila mkikurupuka kuvifungia.
Kitu muhimu ni kwamba hela tunazo za kuweza kununua chochote ambacho hatuzalishi, na kuna mataifa mengi tu ambayo yanakanyagana yakija kutafuta soko kwetu.
 
Mara nyingi tumetishiwa nyau na Watanzania kwamba tukifungiana mipaka, Wakenya tutaishia kuangamia maana tunaambiwa tunaihitaji Tanzania kwa hali na mali. Hivyo sasa hii imewapa Watanzania uhuru wa kudhihirisha chuki zao na kutuwaza kila siku.
Imewapa jeuri Watanzania ya kuibuka na kila aina ya sera za chuki dhidi yetu, Watanzania wote wameamishwa hizi chuki na kuwekwa kwenye mazingira ya kuamini kwamba nchi yao ndio hewa tunayoipumua leo, ilhali serikali yetu dhaifu ipo kimya hawajibu kwa lolote. Sasa nawaomba wachumi nguli mtusaidie kudadavua na kubaini nini ambacho tunaweza kupoteza tukipeana talaka na Watanzania kama ilivyotendeka awali maana sio mara ya kwanza kufungiana mpaka.
Ni kweli kuna vitu tutapoteza, lakini pia katika biashara lazima ukubali hasara haswa kwa wadeni jeuri "doubtful debts", au pia huruhusiwa kuachia wateja ambao japo unanufaika na biashara yao lakini wanakukwamisha kwenye mengine mengi.

Binafsi kwa mahesabu ya haraka
- Katika mataifa ambayo tunauza bidhaa zetu, Tanzania imechukua tu nafasi ya asilimia 10% hivyo, asilimia zingine 90% tunauza bila kuwategemea. Kenya imetumia nguvu nyingi sana kupata masoko kwenye mataifa tofauti duniani, leo hii hata KQ inapaa moja kwa moja kwenda Marekani.
- Likija suala la uhusiano baina ya raia wetu, ukweli ni kwamba takwimu huonyesha kwamba Watanzania wengi ndio wanakuja Kenya zaidi ya Wakenya wanaokwenda Tanzania, haswa ukizingatia sera zao dhidi ya Wakenya, ina maana hao Wakenya wachache waliopo huko kwao hawanufaiki pakubwa sana kihivyo, ilhali wao wamejaza Watanzania wao kwa maelfu huku Kenya, na wengi hawana umuhimu wowote huku bali omba omba tu.
- Tofauti baina ya uchumi wa Kenya na Tanzania inazidi kuongezeka, yaani Kenya inazidi kuiacha Tanzania kwa mbali, kuna miaka ya awali tofauti yetu ilikua dola bilioni mbili za Kimarekani, leo hii tofauti imezidi dola bilioni 30, yaani ukiunganisha Uganda, Burundi, Tanzania bado hautakua umetufikia. Tofauti inaendelea kuongezeka.
- Tuna miradi mikubwa inaendelea Kenya kwa leo yaani kuitaja humu nitaishia kujaza server za watu bure.

So kwa kifupi, Kenya yetu kainchi kadogo na nusu yake kame tupu, hatuna madini lakini uwezo wetu upo kwenye nguvu kazi ya watu wetu na kujituma, hicho ni kitu hatuwezi kukipoteza na ndio kimetuwezesha kutawala ukanda wote huu kiuchumi, kijeshi, kielimu n.k.
Hayo yote uliyoyaandika ni kama mpuuzi asiye na akili anayejisifia Shule yetu imeongoza kitaifa matokeo ya level fulani ya elimu ilihali yeye binafsi katika matokeo ya mtihani huo amepata Division Zero. Kiukweli uchumi wa Kenya kuwa juu hakumnufaishi Mwananchi wa kawaida wa Kenya na wanaofaidi Keki ya Taifa la Kenya ni mabaki ya Settlers, nchi za Ulaya na Marekani na wakenya wachache ambao hawazidi hata 1%. Hii imepelekea purchasing power ya wakenya walio wengi kuwa chini na kuishi maisha ya hovyo ukilinganisha na nchi zingine za East Africa. Kwa ufupi uchumi wa Kenya haupo mikononi mwa raia wa nchi hiyo kitu ambacho ni tofauti na Tanzania ambapo uchumi wa nchi kwa asilimia kubwa unamilikiwa na wananchi wenyewe na kuwafanya kuwa na purchasing power kubwa kuliko wakenya.

You won't know unless you try it.
Do you really want to find out though?
 
Unajua maana ya 10% au unaropoka Tu? Kama vipi Ondokeni tuuu na dharau zenuu..
 
Hizo bidhaa mnazo zalisha na kuuza tz 10℅ na 90% kuuza sehemu nyingine unajua malighafi asilimia ngapi zinatoka tz ? Tena unajua kwanini wawekezaji wa kigeni na mashirika mbalimbali ya kigeni yanawekeza Kenya badala ya tz Kwa kifupi madini na rasilimali za tz zinazo ibiwa zinafichwa Kenya hata madini yaliyo kamatwa majuzi yalikuwa yanaenda Kenya sikuzote mwizi uficha mali ya wizi nje ya alipo Fanya wizi wazungu na waasia wakishirikiana na serikali ya kenya wanao ibia tz wameifanya Kenya kuwa kituo cha wizi wao tz
Ndiyo maana unashangaa kwanini serikali ya Kenya hipo kimya ma bwanyenye wanao himiliki Kenya wanaogopa kama nini mpaka ukifungwa Kwa 100% wanajua vizuri hii kitu ila Kwa we we MK 254 inaonyesha itakuwa ni masikini wa kibera ndiyo maana ujui hadi unashangaa kwanini serikali yenu inanywea kuusu tz inaogopa kuvimbisha kifua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikitokea kitu kama hicho hali itakua mbaya saana maana kenya mnaitegemea tz kwa chakula.mpaka ukifungwa ina maana
a) mahindi hayatakuja kenya
b)vitunguu
C)Machungwa
d)Mashudu
e)Mbuzi
f) Asali
g) Mashudu
h) Ngwala
i)Mbao
j) Viazi vya chips
k) Makaa ya mawe
l) Karatasi toka mgororo
m) Mchele
n) nk nk nk

Hali itakua tete sana huko!
Hiyo Ngwala ndio nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yote uliyoyaandika ni kama mpuuzi asiye na akili anayejisifia Shule yetu imeongoza kitaifa matokeo ya level fulani ya elimu ilihali yeye binafsi katika matokeo ya mtihani huo amepata Division Zero. Kiukweli uchumi wa Kenya kuwa juu hakumnufaishi Mwananchi wa kawaida wa Kenya na wanaofaidi Keki ya Taifa la Kenya ni mabaki ya Settlers, nchi za Ulaya na Marekani na wakenya wachache ambao hawazidi hata 1%. Hii imepelekea purchasing power ya wakenya walio wengi kuwa chini na kuishi maisha ya hovyo ukilinganisha na nchi zingine za East Africa. Kwa ufupi uchumi wa Kenya haupo mikononi mwa raia wa nchi hiyo kitu ambacho ni tofauti na Tanzania ambapo uchumi wa nchi kwa asilimia kubwa unamilikiwa na wananchi wenyewe na kuwafanya kuwa na purchasing power kubwa kuliko wakenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Agiza soda kwa mangi hapo nakuja kulipia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You won't know unless you try it.
Do you really want to find out though?

Personally, if it were within my power, I'd have made that painful decision long long ago, yeah! In business, there are times to count your losses and move on, albeit painful. Some of these decisions are worth it, there are many countries in the world that made such choices and are still existing, they didn't starve to death.
 
Back
Top Bottom