Hivi, ni kipi Kenya inaweza ikapoteza tukifungiana mpaka na Tanzania

Hivi, ni kipi Kenya inaweza ikapoteza tukifungiana mpaka na Tanzania

Based on this, you are trying to tell us something. Not otherwise.

I am not telling but asking, how worse can it get for us, will calling it quits with you guys cause mass starvation in Kenya? are the current facts and statistics denoting or indicating such a reality.
Am not interested on what Tz will gain/lose, the question is specifically from Kenyan perspective and viewpoint.
 
Ninadhani Geza Ulole amejibu vizuri sana na kwaufupi. Kenya inaitegemea Tanzania directly kwa kuwa Tanzanian ni source kubwa ya bidhaa za mashambani kwa ajili ya Mali ghafi ya viwanda vya Kenya na chakula kwa wakenya, pia Kenya inaitegeme Tanzania kwa ajili ya soko la bidhaa zake, hasa kutokana na Uganda kupunguza sana kutegemea bidhaa za Kenya.

Kenya inaitegemea Tanzania indirectly kwa sababu ni Kiunganishi cha Kenya kulifikia soko kubwa la SADC, Geographically and Diplomatically, sababu kubwa ya investors wengi wa Kenya kuwekeza Tanzania ni kupata masoko yote ya SADC na EAC.

Kama alivyojibu hapo juu Mkikuyu akilitimamu, Tanzania haipotezi chochote kwa kuachana na Kenya, kwasababu hata hicho chakula kinachonunuliwa na Kenya, ni kiasi kidogo sana ukilinganisha na kinachonunuliwa na nchi za SADC kama DRC, Zambia, Malawi, Zimbabwe, Namibia na South Africa.

Mwaka Jana Tanzania imekua net exporter both in EAC na SADC,, balance of trade ya Tanzania in SADC imekua $445Million, balance of trade ya Tanzania in EAC ni $130Million.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule kuanza kufikiria tu kufunga mpaka ni mawazo potofu. Hilo lije tu panapokuwepo na mgogoro halisi ambao umeshindikana kutatuliwa. Mbali na hayo, kama kunakuwepo na kutoelewana hapa na pale, hiyo ni kawaida ya maisha. Tutatue hilo tatizo na kuendelea mbele. Hata kwenye familia kunakuwepo kutofautiana kati ya mume na mke au mzazi na mtoto. Huwezi kuanza kufikiria talaka au kufukuza mtoto mpaka hapo kila kitu kingine kitakapokuwa kimeshindikana.

Sio kila wazo linalojadiliwa humu huishia kutendeka, ni kweli kwa hali ya sasa ni vigumu kuufunga mpaka, na ni ukweli usiopingika kwamba nchi zote mbili zitagemeana parefu, lakini hata hivyo JF ni eneo la great thinkers ambapo hypothesis zote hujadiliwa. Humu tumeambiwa mara nyingi kwamba mpaka ukifungwa Kenya itaangamia, basi nimewasilisha ili wataalam watuonyeshe jinsi gani Kenya itafutika itokeapo mpaka ukafungwa.
 
Mimi sioni kama kuna tatizo kwenye hizi nchi mbili, vitu vingi negatives ni vitu vya kisiasa tu lakini kama uku naonaga wakenya wengi tu tena na magari yao kabisa sio wanajificha ficha ata: na watanzania pia wanakujaga uko: Tafaut zilizopo ni issue za kisiasa tu ambazo ukizifuatilia sana unaweza kuumwa kichwa,miaka inavozidi kwenda ndo wananchi wanazidi kua wamoja, na tulipofikia tumeshuhudia intermarriages za kutosha tu, so ni sign nzuri sioni kama kuna cha kusema tuache kuuza vitu flan kenya ama wao waache kuuza vitu uku maana ata mm ni mmoja wa watu nanufaika na undugu huu haswa kwenye upande wa finance: tungeendelea tu kuweka mada za kutuweka zaidi pamoja kama kubadilishana project ingekua poa zaidi
 
Wakenya ni malofa kweli, Sasa juzi mlikuwa mnalilia free movementya nini kama hakuna kitu mbafaidika nacho Tz.

Viatu na Vyombo vya kupikia ndo mnaleta sisi tunaleta, makaa ya mawe, vitunguu, makaa ya mawe, nk alaf unakuja na asilimia kumi yako ya ajabu ajabu apa.

Vyote mnavyouza malighaf zake zinatoka Tz, ardhi ya kulima ni bustani alaf useme mnajiweza.
 
Mara nyingi tumetishiwa nyau na Watanzania kwamba tukifungiana mipaka, Wakenya tutaishia kuangamia maana tunaambiwa tunaihitaji Tanzania kwa hali na mali. Hivyo sasa hii imewapa Watanzania uhuru wa kudhihirisha chuki zao na kutuwaza kila siku.
Imewapa jeuri Watanzania ya kuibuka na kila aina ya sera za chuki dhidi yetu, Watanzania wote wameamishwa hizi chuki na kuwekwa kwenye mazingira ya kuamini kwamba nchi yao ndio hewa tunayoipumua leo, ilhali serikali yetu dhaifu ipo kimya hawajibu kwa lolote. Sasa nawaomba wachumi nguli mtusaidie kudadavua na kubaini nini ambacho tunaweza kupoteza tukipeana talaka na Watanzania kama ilivyotendeka awali maana sio mara ya kwanza kufungiana mpaka.
Ni kweli kuna vitu tutapoteza, lakini pia katika biashara lazima ukubali hasara haswa kwa wadeni jeuri "doubtful debts", au pia huruhusiwa kuachia wateja ambao japo unanufaika na biashara yao lakini wanakukwamisha kwenye mengine mengi.

Binafsi kwa mahesabu ya haraka
- Katika mataifa ambayo tunauza bidhaa zetu, Tanzania imechukua tu nafasi ya asilimia 10% hivyo, asilimia zingine 90% tunauza bila kuwategemea. Kenya imetumia nguvu nyingi sana kupata masoko kwenye mataifa tofauti duniani, leo hii hata KQ inapaa moja kwa moja kwenda Marekani.
- Likija suala la uhusiano baina ya raia wetu, ukweli ni kwamba takwimu huonyesha kwamba Watanzania wengi ndio wanakuja Kenya zaidi ya Wakenya wanaokwenda Tanzania, haswa ukizingatia sera zao dhidi ya Wakenya, ina maana hao Wakenya wachache waliopo huko kwao hawanufaiki pakubwa sana kihivyo, ilhali wao wamejaza Watanzania wao kwa maelfu huku Kenya, na wengi hawana umuhimu wowote huku bali omba omba tu.
- Tofauti baina ya uchumi wa Kenya na Tanzania inazidi kuongezeka, yaani Kenya inazidi kuiacha Tanzania kwa mbali, kuna miaka ya awali tofauti yetu ilikua dola bilioni mbili za Kimarekani, leo hii tofauti imezidi dola bilioni 30, yaani ukiunganisha Uganda, Burundi, Tanzania bado hautakua umetufikia. Tofauti inaendelea kuongezeka.
- Tuna miradi mikubwa inaendelea Kenya kwa leo yaani kuitaja humu nitaishia kujaza server za watu bure.

So kwa kifupi, Kenya yetu kainchi kadogo na nusu yake kame tupu, hatuna madini lakini uwezo wetu upo kwenye nguvu kazi ya watu wetu na kujituma, hicho ni kitu hatuwezi kukipoteza na ndio kimetuwezesha kutawala ukanda wote huu kiuchumi, kijeshi, kielimu n.k.
Very good analysis.
 
Haya ni mawazo ya mtu aliyekata tamaa. Mimi binafsi ni bora ninunue bidhaa kutoka Tz badala ya kutoka china au mahindi kutoka mexico ama sukari kutoka Brazil
We as africans need to realize that we have a common trade enemy who is China..
Na mpongeza sana JPM kwa kumpatia Mwafrika wa misri kandarasi ya Stiglers, Reli ya sgr nayo kawapa Turkey ambao kwa mradi wa sgr wameajiri 90% Tanzanians.
Miafrika mkianza kutengana wenyewe kwa wenyewe atake nufaika ni Mzungu na Mchina..
 
I am not telling but asking, how worse can it get for us, will calling it quits with you guys cause mass starvation in Kenya? are the current facts and statistics denoting or indicating such a reality.
Am not interested on what Tz will gain/lose, the question is specifically from Kenyan perspective and viewpoint.
Hehe ... Diamond Platinumz.
 
Ukikuyuni huko nyeri kwa akina @Mkikuyu Akili timamu!

Nyeri haizalishi mazwazwa wenye majungu na machungu dhidi ya nchi yao, kule labda utapata tu wapinzani dhidi ya serikali.
Napajua sana Nyeri maana mamangu mzawa wa huko, sehemu inaitwa Tambaya, Mukrweini.
 
Ukikuyuni huko nyeri kwa akina @Mkikuyu Akili timamu!
Nilikwambia mimi mzawa wa Murang'a. Kitovu cha wanabiashara 90% wa nairobi..Home of Equity bank and the most respected CEO's in kenya.
Nyeri ni ya wakikuyu ambao wamekosa ubunifu, wana utaahira fulani wa kichwa na uoga mpaka mabibi zao huwachapa vita. kila siku.
Ni bahati sana Kibaki anayetoka Othaya alipata urais..Huku ukikuyuni anajulikana kama general Kìguoya..Isingekuwa ni mkono wa the late John Michuki serikali yake ingesambaratika
 
Nilikwambia mimi mzawa wa Murang'a. Kitovu cha wanabiashara 90% wa nairobi..Home of Equity bank and the most respected CEO's in kenya.
Nyeri ni ya wakikuyu ambao wamekosa ubunifu, wana utaahira fulani wa kichwa na uoga mpaka mabibi zao huwachapa vita. kila siku.
Ni bahati sana Kibaki anayetoka Othaya alipata urais..Huku ukikuyuni anajulikana kama general Kìguoya..Isingekuwa ni mkono wa the late John Michuki serikali yake ingesambaratika
Nakuomba usihepe maswali yangu basi kama ilivyo kawaida yako.
Kwenu ni murang'a wapi? Which Constituency?which ward?
 
Nakuomba usihepe maswali yangu basi kama ilivyo kawaida yako.
Kwenu ni murang'a wapi? Which Constituency?which ward?
Siko hapa kukujibu maswali yasio fuatana na mada. Tafuta mkikuyu wa nyeri.. Akili zao ndizo zipo hivyo..kutapatapa hovyo na fitina..
Hauwezi kuwa na akili timamu kama babako mzazi kila siku apigwa nyahunyo na mamako..Kichwa kitaingia umama
 
Back
Top Bottom