MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Hayo yote uliyoyaandika ni kama mpuuzi asiye na akili anayejisifia Shule yetu imeongoza kitaifa matokeo ya level fulani ya elimu ilihali yeye binafsi katika matokeo ya mtihani huo amepata Division Zero. Kiukweli uchumi wa Kenya kuwa juu hakumnufaishi Mwananchi wa kawaida wa Kenya na wanaofaidi Keki ya Taifa la Kenya ni mabaki ya Settlers, nchi za Ulaya na Marekani na wakenya wachache ambao hawazidi hata 1%. Hii imepelekea purchasing power ya wakenya walio wengi kuwa chini na kuishi maisha ya hovyo ukilinganisha na nchi zingine za East Africa. Kwa ufupi uchumi wa Kenya haupo mikononi mwa raia wa nchi hiyo kitu ambacho ni tofauti na Tanzania ambapo uchumi wa nchi kwa asilimia kubwa unamilikiwa na wananchi wenyewe na kuwafanya kuwa na purchasing power kubwa kuliko wakenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii haijajibu swali langu maana ni yale yale mliaminishwa kwamba Kenya yote inamilikiwa na wazungu, hilo tulishalijadili tukajaribu kuwaelimisha lakini kwa mlivyo mabumbumbu hamkuelewa. Ni kama tusemavyo utajiri asilimia 70% wa Tanzania umemilikiwa na wahindi na waarabu ambao ndio kumi bora kwa wanaoimiliki Tanzania, maana humo Watanganyika weusi hawana lolote, labda mmoja tu yule Mchagga bwana Mengi, wengine wote kajamba wa Manzense.