Hivi, ni kipi Kenya inaweza ikapoteza tukifungiana mpaka na Tanzania

Based on this, you are trying to tell us something. Not otherwise.

I am not telling but asking, how worse can it get for us, will calling it quits with you guys cause mass starvation in Kenya? are the current facts and statistics denoting or indicating such a reality.
Am not interested on what Tz will gain/lose, the question is specifically from Kenyan perspective and viewpoint.
 
Ninadhani Geza Ulole amejibu vizuri sana na kwaufupi. Kenya inaitegemea Tanzania directly kwa kuwa Tanzanian ni source kubwa ya bidhaa za mashambani kwa ajili ya Mali ghafi ya viwanda vya Kenya na chakula kwa wakenya, pia Kenya inaitegeme Tanzania kwa ajili ya soko la bidhaa zake, hasa kutokana na Uganda kupunguza sana kutegemea bidhaa za Kenya.

Kenya inaitegemea Tanzania indirectly kwa sababu ni Kiunganishi cha Kenya kulifikia soko kubwa la SADC, Geographically and Diplomatically, sababu kubwa ya investors wengi wa Kenya kuwekeza Tanzania ni kupata masoko yote ya SADC na EAC.

Kama alivyojibu hapo juu Mkikuyu akilitimamu, Tanzania haipotezi chochote kwa kuachana na Kenya, kwasababu hata hicho chakula kinachonunuliwa na Kenya, ni kiasi kidogo sana ukilinganisha na kinachonunuliwa na nchi za SADC kama DRC, Zambia, Malawi, Zimbabwe, Namibia na South Africa.

Mwaka Jana Tanzania imekua net exporter both in EAC na SADC,, balance of trade ya Tanzania in SADC imekua $445Million, balance of trade ya Tanzania in EAC ni $130Million.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sio kila wazo linalojadiliwa humu huishia kutendeka, ni kweli kwa hali ya sasa ni vigumu kuufunga mpaka, na ni ukweli usiopingika kwamba nchi zote mbili zitagemeana parefu, lakini hata hivyo JF ni eneo la great thinkers ambapo hypothesis zote hujadiliwa. Humu tumeambiwa mara nyingi kwamba mpaka ukifungwa Kenya itaangamia, basi nimewasilisha ili wataalam watuonyeshe jinsi gani Kenya itafutika itokeapo mpaka ukafungwa.
 
Mimi sioni kama kuna tatizo kwenye hizi nchi mbili, vitu vingi negatives ni vitu vya kisiasa tu lakini kama uku naonaga wakenya wengi tu tena na magari yao kabisa sio wanajificha ficha ata: na watanzania pia wanakujaga uko: Tafaut zilizopo ni issue za kisiasa tu ambazo ukizifuatilia sana unaweza kuumwa kichwa,miaka inavozidi kwenda ndo wananchi wanazidi kua wamoja, na tulipofikia tumeshuhudia intermarriages za kutosha tu, so ni sign nzuri sioni kama kuna cha kusema tuache kuuza vitu flan kenya ama wao waache kuuza vitu uku maana ata mm ni mmoja wa watu nanufaika na undugu huu haswa kwenye upande wa finance: tungeendelea tu kuweka mada za kutuweka zaidi pamoja kama kubadilishana project ingekua poa zaidi
 
Wakenya ni malofa kweli, Sasa juzi mlikuwa mnalilia free movementya nini kama hakuna kitu mbafaidika nacho Tz.

Viatu na Vyombo vya kupikia ndo mnaleta sisi tunaleta, makaa ya mawe, vitunguu, makaa ya mawe, nk alaf unakuja na asilimia kumi yako ya ajabu ajabu apa.

Vyote mnavyouza malighaf zake zinatoka Tz, ardhi ya kulima ni bustani alaf useme mnajiweza.
 
Very good analysis.
 
Haya ni mawazo ya mtu aliyekata tamaa. Mimi binafsi ni bora ninunue bidhaa kutoka Tz badala ya kutoka china au mahindi kutoka mexico ama sukari kutoka Brazil
We as africans need to realize that we have a common trade enemy who is China..
Na mpongeza sana JPM kwa kumpatia Mwafrika wa misri kandarasi ya Stiglers, Reli ya sgr nayo kawapa Turkey ambao kwa mradi wa sgr wameajiri 90% Tanzanians.
Miafrika mkianza kutengana wenyewe kwa wenyewe atake nufaika ni Mzungu na Mchina..
 
Hehe ... Diamond Platinumz.
 
Ukikuyuni huko nyeri kwa akina @Mkikuyu Akili timamu!

Nyeri haizalishi mazwazwa wenye majungu na machungu dhidi ya nchi yao, kule labda utapata tu wapinzani dhidi ya serikali.
Napajua sana Nyeri maana mamangu mzawa wa huko, sehemu inaitwa Tambaya, Mukrweini.
 
Ukikuyuni huko nyeri kwa akina @Mkikuyu Akili timamu!
Nilikwambia mimi mzawa wa Murang'a. Kitovu cha wanabiashara 90% wa nairobi..Home of Equity bank and the most respected CEO's in kenya.
Nyeri ni ya wakikuyu ambao wamekosa ubunifu, wana utaahira fulani wa kichwa na uoga mpaka mabibi zao huwachapa vita. kila siku.
Ni bahati sana Kibaki anayetoka Othaya alipata urais..Huku ukikuyuni anajulikana kama general Kìguoya..Isingekuwa ni mkono wa the late John Michuki serikali yake ingesambaratika
 
Nakuomba usihepe maswali yangu basi kama ilivyo kawaida yako.
Kwenu ni murang'a wapi? Which Constituency?which ward?
 
Nakuomba usihepe maswali yangu basi kama ilivyo kawaida yako.
Kwenu ni murang'a wapi? Which Constituency?which ward?
Siko hapa kukujibu maswali yasio fuatana na mada. Tafuta mkikuyu wa nyeri.. Akili zao ndizo zipo hivyo..kutapatapa hovyo na fitina..
Hauwezi kuwa na akili timamu kama babako mzazi kila siku apigwa nyahunyo na mamako..Kichwa kitaingia umama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…