Hivi ni kwa namna gani naweza kuwa monetized na youtube

Hivi ni kwa namna gani naweza kuwa monetized na youtube

Noah the lastborn

Senior Member
Joined
Dec 26, 2025
Posts
139
Reaction score
182
Nahitaji msaada wa kimawazo ili nijue namna ya kuingiza hela kupitia kupost na kucreate content youtube ,msaada wa kimawazo guys
 
Wajuzi, watakupa mawazo, lakin nazan kwa YouTube, utahitaj ku create chanel kwanza, halafu itahitaji upost clip hizo youtube, na ufikishe masaa 4k, na subscribe 1k, ndo unapoaanz kulipwa!!
"Unaweza kuingia YouTube, ukiandika hio title kuna namna utaelekezw zaid!! Maana mi mwenyew nilisikia juu juu tu kuna wadau walikuw wanapiga story
 
Back
Top Bottom