Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
Wandugu Habarini,
Binafsi Kila Nikiamka Asubuhi Baada Ya Kumaliza Ratiba Za Kawaida Hua Naingia Kwenye Mitandao Mitatu Ya Kijamii Kwa Muda Wa Masaa Mawili. Hua Naanzia WhatsApp, Nakuja JamiiForums namalizia na Instagram.
Kwa Utaratibu Wangu Huu, Leo Nimeona Nishee Na Hadhara Hapa Juu Ya Hili Jambo Ambalo Mara Zote Naliona Hasa Instagram. Ukiingia Katika Akaunti Za Nje Ya Nchi, Iwe Za Binafsi Au Taasisi Fulani, Na Ukakuta Kuna Habari Ya Kumuhusu Mtanzania Au Tanzania Asee Utashangaa Hiyo Post Comments 90%+ Ni Kutoka Tanzania, Na Hapo Hapo Followers Wanaongezeka Kwa Fujo Hatari. Unaweza Dhani Labda Ni Akaunti Ya Mtanzania.
Je Hii Ni Nadharia Kwamba Watanzania Hatupo Bize Na Kazi Au Tumeendelea Sana Upande Wa Teknolojia Ya Habari Na Mawasiliano, Au Huduma Hiyo Kwetu Ni Bei Rahisi Kulinganisha Na Mataifa Mengine??
Nawasilisha kwa majadiliano na constructive criticism!!