Hivi ni kwanini asilimia kubwa sana ya Waalimu hawamkubali Hayati Magufuli?

Hivi ni kwanini asilimia kubwa sana ya Waalimu hawamkubali Hayati Magufuli?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari jf , Binafsi kwa nature ya kazi yangu ananifanya nakuwa karibu sana na watu wa aina mbalimbali lakini kuna kitu sijakuelewa.

Asilimia kubwa ya Waalimu hawampendi hayati JPM

Wanasheria na wanasiasa wanafuata

Cha kushangaza wafanyabishara ambao ndio walibanwa sana ni wachache sana kuona hawakubali JPM tofauti na Waalimu.

Mwisho kabisa Kada ya Afya hususani madaktari ni wachache sana kuona wanamzungumzia vibaya Hayati mbali namna ilivyokwenda issue ya COVID19 .

Swali ninalo jiuliza hayati na Waalimu walipishana wapi?​
 
Habari jf , Binafsi kwa nature ya kazi yangu ananifanya nakuwa karibu sana na watu wa aina mbalimbali lakini kuna kitu sijakuelewa ...

....Asilimia kubwa ya Waalimu hawampendi hayati JPM

...Wanasheria na wanasiasa wanafuata

...Cha kushangaza wafanyabishara ambao ndio walibanwa sana ni wachache sana kuona hawakubali JPM tofauti na Waalimu.

....Mwisho kabisa Kada ya Afya hususani madaktari ni wachache sana kuona wanamzungumzia vibaya Hayati mbali namna ilivyokwenda issue ya COVID19 .

Swali ninalo jiuliza hayati na Waalimu walipishana wapi ?​
Likely ni Kutopandisha mishahara kwa kipindi chake chote
 
Hii research yako umeifanyia wapi na wapi? What was your hypothesis, demographic, sample size and your research methodology?
Hivi kila research lazima iwe na hypothesis?!
 
Wewe sema umeamua kumsema sa100 kupitia jina la camouflage ya magufuli
 
Nadhani picha linaanza mwamba alivyobadili elimu ya awali na upili kuwa Free kwenye shule za governments na hapo ndipo akawa ameharibu ugali wa walimu, it looks like michango mingi shule ilikuwa inawaweka walimu kwenye hali nzuri ya kupona kiuchumi.
 
Hii research yako umeifanyia wapi na wapi? What was your hypothesis, demographic, sample size and your research methodology?
Hii ni tafiti isiyo rasmi
 
Habari jf , Binafsi kwa nature ya kazi yangu ananifanya nakuwa karibu sana na watu wa aina mbalimbali lakini kuna kitu sijakuelewa.

Asilimia kubwa ya Waalimu hawampendi hayati JPM

Wanasheria na wanasiasa wanafuata

Cha kushangaza wafanyabishara ambao ndio walibanwa sana ni wachache sana kuona hawakubali JPM tofauti na Waalimu.

Mwisho kabisa Kada ya Afya hususani madaktari ni wachache sana kuona wanamzungumzia vibaya Hayati mbali namna ilivyokwenda issue ya COVID19 .

Swali ninalo jiuliza hayati na Waalimu walipishana wapi?​
Tatizo la kuwa 100% dependant on salary
 
Back
Top Bottom