Bila kusahau 'sample size '...Hii research yako umeifanyia wapi? What was your hypothesis and research methodology?
Likely ni Kutopandisha mishahara kwa kipindi chake choteHabari jf , Binafsi kwa nature ya kazi yangu ananifanya nakuwa karibu sana na watu wa aina mbalimbali lakini kuna kitu sijakuelewa ...
....Asilimia kubwa ya Waalimu hawampendi hayati JPM
...Wanasheria na wanasiasa wanafuata
...Cha kushangaza wafanyabishara ambao ndio walibanwa sana ni wachache sana kuona hawakubali JPM tofauti na Waalimu.
....Mwisho kabisa Kada ya Afya hususani madaktari ni wachache sana kuona wanamzungumzia vibaya Hayati mbali namna ilivyokwenda issue ya COVID19 .
Swali ninalo jiuliza hayati na Waalimu walipishana wapi ?
Akikujibu niiite nimekaa paleeee...Bila kusahau 'sample size '...
Hivi kila research lazima iwe na hypothesis?!Hii research yako umeifanyia wapi na wapi? What was your hypothesis, demographic, sample size and your research methodology?
Hii ni tafiti isiyo rasmiHii research yako umeifanyia wapi na wapi? What was your hypothesis, demographic, sample size and your research methodology?
ππππAkikujibu niiite nimekaa paleeee...
Tatizo la kuwa 100% dependant on salaryHabari jf , Binafsi kwa nature ya kazi yangu ananifanya nakuwa karibu sana na watu wa aina mbalimbali lakini kuna kitu sijakuelewa.
Asilimia kubwa ya Waalimu hawampendi hayati JPM
Wanasheria na wanasiasa wanafuata
Cha kushangaza wafanyabishara ambao ndio walibanwa sana ni wachache sana kuona hawakubali JPM tofauti na Waalimu.
Mwisho kabisa Kada ya Afya hususani madaktari ni wachache sana kuona wanamzungumzia vibaya Hayati mbali namna ilivyokwenda issue ya COVID19 .
Swali ninalo jiuliza hayati na Waalimu walipishana wapi?
Ukielewa maana ya hypothesis then utakua umejijibu swali lako.Hivi kila research lazima iwe na hypothesis?!
Sasa mkuu si unijibu tu kuliko kuzungukaUkielewa maana ya hypothesis then utakua umejijibu swali lako.