jozee jose
Member
- Sep 22, 2022
- 52
- 120
Tangu nimekuwa nikitembelea ukanda wa Pwani yaani mikoa ya Pwani, Dar, Lindi na Mtwara nimekuta na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza, tukianza na bei ya samaki ipo juu kuliko hata mikoa ambayo haina rasilimali bahari au maziwa Kwa ajili ya uvuvi wa bidhaa hiyo.
Baadhii ya watu husema bei ipo juu kutokata na kwamba uhitaji ni mkubwa sana na samaki Sio wengi kulingana na soko lilivyo hii hupelekea bidhaa hizi za samaki na Dagaa kupanda bei.
Sasa binafsi nashangaa Kwa mkoa kama Mtwara idadi ya watu huwezi linganisha na watu wa Mbeya, Njombe, Iringa ambako huko samaki ni bei nafuu tena hawana bahari.
Lakini Kwa utafiti mwingine wadau wanasema ni utamaduni tu wa kupanga bei Kwa kuwa Hana shughuli mbadala wa kuwaingizia kupata ili wajikimu kimaisha, Kwa mfano Kuna baadhi wa wafanyabiasha wadogo kama wa matunda anaweza akajumua embe na kuuza faida mara 2 Kwa Kila embe na haya maziwa yakahusianisha na bidhaa zingine za vyakula kama samaki, ni nini maoni yako.