Hivi ni kwanini Feisal hana soko nje kama Mzize na Kibu D

Hivi ni kwanini Feisal hana soko nje kama Mzize na Kibu D

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,112
Humu ndani naona Feisal Salum ndiye mchezaji anayepambwa sana kuwa ni mchezaji kiwango sana kupita wachezaji wengine wazawa.

Lakini sikuwahi kusikia kuna timu nje iliyoonyesha nia ya kumchukuwa, wala sijawahi kusikia akiitwa kwenda kufanya majaribio huko nje.
Ila Kibu Denis mara nyingi kaitwa kujaribiwa nje na pia ametajwa kuhitajika huko South Africa, pia Clement Mzize amekuwa akitajwa sana kuhitajika huko nje.

Huyu Feisal Salum anayevuma sana humu nchini na pia ni mchezaji pendwa wa wachambuzi wa mitandaoni inakuaje hatusikii timu yoyote kumuhitaji nje??

AU UKUTE NI WA KAWAIDA SANA SEMA TU HUMU NDANI ANA NYOTA KALI YA KUPAMBWA KAMA ILIVYOKUWA KASEJA , NGASA NA CHUJI
 
Humu ndani naona Feisal Salum ndiye mchezaji anayepambwa sana kuwa ni mchezaji kiwango sana kupita wachezaji wengine wazawa . Lakini sikuwahi kusikia kuna timu nje iliyoonyesha nia ya kumchukuwa, wala sijawahi kusikia akiitwa kwenda kufanya majaribio huko nje. Ila Kibu Denis mara nyingi kaitwa kujaribiwa nje na pia ametajwa kuhitajika huko South Africa, pia Clement Mzize amekuwa akitajwa sana kuhitajika huko nje.
Huyu Feisal Salum anayevuma sana humu nchini na pia ni mchezaji pendwa wa wachambuzi wa mitandaoni inakuaje hatusikii timu yoyote kumuhitaji nje?? AU UKUTE NI WA KAWAIDA SANA SEMA TU HUMU NDANI ANA NYOTA KALI YA KUPAMBWA KAMA ILIVYOKUWA KASEJA , NGASA NA CHUJI
Nadhani club anayo ichezea uwakilishi wake kimataifa ni duni
 
Feisal ni over hyped na wakina Wilson Oruma na jemedari saidi

Wale jamaa ni machawa wake ndio maana wanapiga promo saana.

Ukifuaatilia au ukimfatilia bila kuwasikiliza hao jamaaa utakuwa free person utamuona fei as good performing player Ila hastahili masifa mengi...

Imagine watu waje mamnunue Aziz na sio fei... Kweli??

Hilo moja,

Pili wakala wake labda hajachangamka....

Labda analipwa pesa nzuri Azam AMBAZO they are worth than playing south or north africa
 
Kwenye suala la mpira, Dunia ina changamoto ya washambuliaji, viungo aina ya fei wapo wengi sana hivyo kupata nafas ya kwenda nje unakua ngumu.
Hata ukiangalia eneo la mabeki bado wapo wengi, Leo tuna Job na Baka ni mabeki wazuri sana lakin hatujawahi kusikia tetesi za kutakiwa nje.
 
Feisal ni over hyped na wakina Wilson Oruma na jemedari saidi

Wale jamaa ni machawa wake ndio maana wanapiga promo saana.

Ukifuaatilia au ukimfatilia bila kuwasikiliza hao jamaaa utakuwa free person utamuona fei as good performing player Ila hastahili masifa mengi...

Imagine watu waje mamnunue Aziz na sio fei... Kweli??

Hilo moja,

Pili wakala wake labda hajachangamka....

Labda analipwa pesa nzuri Azam AMBAZO they are worth than playing south or north africa
Ni mchezaji wa kawaida sana anayekuzwa na madali wa soka ili watu wapige mpunga. Hata huko CHAN hakuna la maana anafanya huko zaidi ya kukunja bukta.
 
Kalegea kizenji karidhika na ice cream za azam

Jamaa anachopokea pale Azam ni kikubwa Sana aisee

Kwa Mwezi ni 50M baada ya makato yote
Bado Balozi wa Azam Pesa kwa mwaka 200M
Bado Nyumba na gari pia.

Hi hela ni ngumu kuipata hata huko nje.
Kumbuka mchezaji anaye pokea hata 80M aliyoko uarabuni au wapi ni ndogo maana ukitoa kodi, nyumba na gharama zingine unaweza bakiwa na hela chini hata ya 50M na bado unakuwa mbali na familia(watu wakaribu)
 
Ni mchezaji wa kawaida sana anayekuzwa na madali wa soka ili watu wapige mpunga. Hata huko CHAN hakuna la maana anafanya huko zaidi ya kukunja bukta.
Hahaha kutana na Yule mpuuzi anamwita feilasufiiiii

Oruma, mwandishi njaaaa
 
Nadhani club anayo ichezea uwakilishi wake kimataifa ni duni
Mbona Suleiman Mwalimu Allenda Wydad akitokea Fountain Gate, angalia kina Msuva , Himid Mao nk hawajatokea Simba wala Yanga.

Feisal Salum ni mchezaji mzuri ila nadhani kwa humu ndani tu. Pia propaganda za mashabiki wake zinamkweza sana.

Na kenyewe sasa kanavyojiona kakubwa, kiburi kama chote
 
Jamaa anachopokea pale Azam ni kikubwa Sana aisee

Kwa Mwezi ni 50M baada ya makato yote
Bado Balozi wa Azam Pesa kwa mwaka 200M
Bado Nyumba na gari pia.

Hi hela ni ngumu kuipata hata huko nje.
Kumbuka mchezaji anaye pokea hata 80M aliyoko uarabuni au wapi ni ndogo maana ukitoa kodi, nyumba na gharama zingine unaweza bakiwa na hela chini hata ya 50M na bado unakuwa mbali na familia(watu wakaribu)
Hatuzungumzii hela anayolipwa Azam. Tunazungumzia ni kwanini hakuna timu ya nje yenye interest naye.
 
Mbona Suleiman Mwalimu Allenda Wydad akitokea Fountain Gate, angalia kina Msuva , Himid Mao nk hawajatokea Simba wala Yanga.

Feisal Salum ni mchezaji mzuri ila nadhani kwa humu ndani tu. Pia propaganda za mashabiki wake zinamkweza sana.

Na kenyewe sasa kanavyojiona kakubwa, kiburi kama chote
propaganda zina mkweza sana
 
Back
Top Bottom