Hivi ni kwanini Feisal hana soko nje kama Mzize na Kibu D

Hivi ni kwanini Feisal hana soko nje kama Mzize na Kibu D

Humu ndani naona Feisal Salum ndiye mchezaji anayepambwa sana kuwa ni mchezaji kiwango sana kupita wachezaji wengine wazawa.

Lakini sikuwahi kusikia kuna timu nje iliyoonyesha nia ya kumchukuwa, wala sijawahi kusikia akiitwa kwenda kufanya majaribio huko nje.
Ila Kibu Denis mara nyingi kaitwa kujaribiwa nje na pia ametajwa kuhitajika huko South Africa, pia Clement Mzize amekuwa akitajwa sana kuhitajika huko nje.

Huyu Feisal Salum anayevuma sana humu nchini na pia ni mchezaji pendwa wa wachambuzi wa mitandaoni inakuaje hatusikii timu yoyote kumuhitaji nje??

AU UKUTE NI WA KAWAIDA SANA SEMA TU HUMU NDANI ANA NYOTA KALI YA KUPAMBWA KAMA ILIVYOKUWA KASEJA , NGASA NA CHUJI
Ugali na sukari.
 
Back
Top Bottom