Nadhani club anayo ichezea uwakilishi wake kimataifa ni duniHumu ndani naona Feisal Salum ndiye mchezaji anayepambwa sana kuwa ni mchezaji kiwango sana kupita wachezaji wengine wazawa . Lakini sikuwahi kusikia kuna timu nje iliyoonyesha nia ya kumchukuwa, wala sijawahi kusikia akiitwa kwenda kufanya majaribio huko nje. Ila Kibu Denis mara nyingi kaitwa kujaribiwa nje na pia ametajwa kuhitajika huko South Africa, pia Clement Mzize amekuwa akitajwa sana kuhitajika huko nje.
Huyu Feisal Salum anayevuma sana humu nchini na pia ni mchezaji pendwa wa wachambuzi wa mitandaoni inakuaje hatusikii timu yoyote kumuhitaji nje?? AU UKUTE NI WA KAWAIDA SANA SEMA TU HUMU NDANI ANA NYOTA KALI YA KUPAMBWA KAMA ILIVYOKUWA KASEJA , NGASA NA CHUJI
Ndo akina "maa chapati ngumu"Kalegea kizenji karidhika na ice cream za azam
Ni mchezaji wa kawaida sana anayekuzwa na madali wa soka ili watu wapige mpunga. Hata huko CHAN hakuna la maana anafanya huko zaidi ya kukunja bukta.Feisal ni over hyped na wakina Wilson Oruma na jemedari saidi
Wale jamaa ni machawa wake ndio maana wanapiga promo saana.
Ukifuaatilia au ukimfatilia bila kuwasikiliza hao jamaaa utakuwa free person utamuona fei as good performing player Ila hastahili masifa mengi...
Imagine watu waje mamnunue Aziz na sio fei... Kweli??
Hilo moja,
Pili wakala wake labda hajachangamka....
Labda analipwa pesa nzuri Azam AMBAZO they are worth than playing south or north africa
Wa kwanza likiwemo lile tapeli la Ghana micky jnrNi mchezaji wa kawaida sana anayekuzwa na madali wa soka ili watu wapige mpunga. Hata huko CHAN hakuna la maana anafanya huko zaidi ya kukunja bukta.
Kalegea kizenji karidhika na ice cream za azam
Hahaha kutana na Yule mpuuzi anamwita feilasufiiiiiNi mchezaji wa kawaida sana anayekuzwa na madali wa soka ili watu wapige mpunga. Hata huko CHAN hakuna la maana anafanya huko zaidi ya kukunja bukta.
Micky anaishi Kwa kufata upepoWa kwanza likiwemo lile tapeli la Ghana micky jnr
Mbona Suleiman Mwalimu Allenda Wydad akitokea Fountain Gate, angalia kina Msuva , Himid Mao nk hawajatokea Simba wala Yanga.Nadhani club anayo ichezea uwakilishi wake kimataifa ni duni
Hatuzungumzii hela anayolipwa Azam. Tunazungumzia ni kwanini hakuna timu ya nje yenye interest naye.Jamaa anachopokea pale Azam ni kikubwa Sana aisee
Kwa Mwezi ni 50M baada ya makato yote
Bado Balozi wa Azam Pesa kwa mwaka 200M
Bado Nyumba na gari pia.
Hi hela ni ngumu kuipata hata huko nje.
Kumbuka mchezaji anaye pokea hata 80M aliyoko uarabuni au wapi ni ndogo maana ukitoa kodi, nyumba na gharama zingine unaweza bakiwa na hela chini hata ya 50M na bado unakuwa mbali na familia(watu wakaribu)
propaganda zina mkweza sanaMbona Suleiman Mwalimu Allenda Wydad akitokea Fountain Gate, angalia kina Msuva , Himid Mao nk hawajatokea Simba wala Yanga.
Feisal Salum ni mchezaji mzuri ila nadhani kwa humu ndani tu. Pia propaganda za mashabiki wake zinamkweza sana.
Na kenyewe sasa kanavyojiona kakubwa, kiburi kama chote
Hivi kwanini Micky anapigwa sana madongo Bongo?Wa kwanza likiwemo lile tapeli la Ghana micky jnr