a.k.a Bajaj lol!Hahahaha na kama alienda na tuktuk ndo iliyo mshushia hadhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
a.k.a Bajaj lol!Hahahaha na kama alienda na tuktuk ndo iliyo mshushia hadhi
Nipo bibie.....
Mbona mnawapotezea wenzenu mnaokutana nao?
1. kwani ulimnunulia hiyo dinner? 2. Ukute matarajio yake au picha aliyovuta kichwani mwake haiendani na mtu aliyekutana naye pole sana ndugu
Hebu sikiliza bana.........kijana kaambiwa dinner sijala, nina njaa, Then kaambiwa njoo........Then kijana akasema ooh! late sana,...binti kamwambia kesho nipo tight njoo leo.
Kwa yeyote mwenye akili, hapo alikuwa amemaliza kila kitu! Kijana alipewa nafasi ya kumaliza yeye akachezea.....dada ameshamdharau. Ukiachilia mbali mambo ya pamba na marashi na wahtever else you young people think vinamatter kwenye hili game.
Aliambiwa this is the right time, njoo........yeye akapeleka maneno badala ya action. SOMENI KWA MAKINI.
km alisema mi natembelea HAMMER na akaenda na mark 2 ya dadake imechooooooooooooka wat do thk?
UNAULIZA JIBU BABA, HAPO HAULIPI KWAKE NA VIWANGO VYAKE....:car:
Nyie ndio mnaoharibu sifa za kiume,unaitwa na mwanamke saa 4 usiku ulifikiri anataka chakula ? hiyo ilikuwa sababu tu ulitakiwa ulete chakula na kulianzisha.Ulipomwacha kama ulivyomkuta akaona humfai a.k.a ZOBA.Kuna siku nilitokea kuwasiliana na mdada fulani(jina kapuni),ingawa hatujawahi kuonana uso kwa uso.
Huyo dada kuna siku nilim-sms kwa meseji kama salamu, ikafika mahali, nilimuuliza amekula dinner? akanijibu "khaaa nnna njaaaa!!" nikashangaa na kumjibu "Ungeniambia mapema tungekula wote", alijibu "Jaman", aliniambia "njoo!" mahali alipo yeye ilikuwa usiku saa nne, nikajishauri kimoyomoyo nikamjibu kwa sasa ni usiku tufanye kesho(yaani siku inayofuata), alinijibu "Hapana, 2morrow ts a busy day!". Nikaona duh kweli alitaka anione nikajisukuma mpaka pale alipo na tukaonana tukaongea mawili matatu kwa muda mfupi nikaondoka.
Sasa nilipofika hm, nikamjulisha kwamba nimefika salama, sikuona JIBU mpaka hivi sasa.
Je, hiyo ni dharau ama?
Kwisha habari yako!
Anajua kuzungumza kiingereza yani english au hujui ni kigezo....? huna qualification,au bado anakutafutia namba kwenye list yake???:suspicious:🙂
Silence means alivyokuwa anaimajin jinsi ulivyo ikawa si hivyo.
Her expectations were high but alipokuona akagundua you are below her standards.
Labda hukuwa umejiandaa kaka yangu,ukakurupuka kitandani bila hata ya kuswaki, kufika kule mdomo ukawa unatoa harufu kali na wewe umekazana unataka kumuaga kwa denda dem akajua kila siku ndo upo hivyohivyo.
Pili hiyo imekuwa kama technique ya wadada na wakaka wengi ya kujifanya kama hataki vile baada ya kuonana na mtu mara moja atajifanya kama amepotezea ili mwenzage abeg for more
Anakufikria