Hivi ni kwanini huyu dada alifanya vile...??

mkuu labda muyo mdada alikuwa-disappointed na alichokiona. Usife moyo endelea kutafuta. Lakini next time mngebadilishiana picha may be ingeepesha yote hayo.
 
1. kwani ulimnunulia hiyo dinner? 2. Ukute matarajio yake au picha aliyovuta kichwani mwake haiendani na mtu aliyekutana naye pole sana ndugu

Mkuu Dinner hiyo bana hakutaka mwenyewe! Ila tu alinivuta niende kwake!
 

Mzee hapo kwenye RED sijakupata vizuri, nifafanulie.
 
km alisema mi natembelea HAMMER na akaenda na mark 2 ya dadake imechooooooooooooka wat do thk?


Hahahahaha! Haya bana Rose1980 mambo ya HAMMER ndo niyapeleke huko, reality inalipa zaidi kuliko uwongo mkuu! Ila kifupi sikumwaga hayo mambo ya kumdanganya.
 
UNAULIZA JIBU BABA, HAPO HAULIPI KWAKE NA VIWANGO VYAKE....:car:


Sibabaiki na viwango! Binadamu tunabadilika leo yuko safi kesho yuko rough, tena kesho kutwa anarudi anakuwa smart tena.
 
Nyie ndio mnaoharibu sifa za kiume,unaitwa na mwanamke saa 4 usiku ulifikiri anataka chakula ? hiyo ilikuwa sababu tu ulitakiwa ulete chakula na kulianzisha.Ulipomwacha kama ulivyomkuta akaona humfai a.k.a ZOBA.
 
mi sijaelewa sawa sawa hapa, mtoa mada analalamika kwamba aliandika msg kumjulisha bibie kwamba alifika salama lakini haikujibiwa. Ila sioni swali hapo kwenye msg yake sasa sijui alitegemea ajibiwe nini wakati msg ilikuwa ni ya taarifa tu na siyo swali?
 
Anajua kuzungumza kiingereza yani english au hujui ni kigezo....? huna qualification,au bado anakutafutia namba kwenye list yake???:suspicious:🙂

Hilo kiinglish tena!? Mwache na chaguo lake, unaweza ukawa unajua kiingleza na unamtaka jamaa wa dizaini hiyo lkn unakuta ni mwanga kweli au jambazi mkubwa, utafanyaje hapo?

Kama ni hilo halinihusu mimi.
 

Hahaha! Nilijua anatumia hiyo technique, mzee hujakosea ulichokisema hapo kwenye RED!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…