Hivi ni kwanini Jemedari anaongelea sana issues za Yanga

unaeza kua mjini toka miaka ya 70 ..kama haupo kwenye mfumo huna utakachojua
Uyo babu aliye mleta Jemedari mjini haijui mifumo na ana zaidi ya miaka 35 kwenye mpira, Sasa Jemedari anajua Nini?
Kwasasa Jemedari anapuuzwa na Yanga kwakua hajafikia kuwa na madhara Kwa Yanga, wamemchukulia kama mtu anaye piga kelele.
Kuna mstari wa kimaslahi aki uvuka atarudishwa kijijini akashughulike na Korosho.
 
Wewe ndio mjinga na jemedari Kama anajua Mambo ya mikataba mbona hawashauri Simba wamwambie Mo atoe pesa za udhamini na mabango yake kwenye jezi?.
Sijui umeandika wadudu gani hapa[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ujinga ni ujinga tu, wacha utetezi wako wa kijinga, kila siku mnaambiwa, na msipobadilika mtaendelea kuwa wajinga.
 
Ujinga ni ujinga tu, wacha utetezi wako wa kijinga, kila siku mnaambiwa, na msipobadilika mtaendelea kuwa wajinga.
Wajinga na ma Mbumbumbu ni wale walio mchagua Mangungu Kwa kuwaletea Manzoki kwenye Mkutano wa Uchaguzi.
 
Hapaaa nakubaliii.
 
Ahaa

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Mshitaki TFF afungiwe kuongelea Yanga pekee kwani anakukera kutoongelea ya Simba.

Mambo mengine ya kijinga sana. Yaani mtu ale ugali sana kushinda wali halafu uanze kutuuliza sisi kwanini anakula sana na sio wali. Hii nchi hii sijui inakwama wapi
Sawa nimekuelewa

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Unaongea usichokijua hata kidogo ..unawajua walio nyuma ya jemedari wewe,Basi nikuambie hao ndo yanga asili ,hao kina hersi wakuja tu hao watoto wajuzi.unaijua yanga asili wewe,unawajua gongo wazi vizuri..
 
Simba ya wapi aliyowahi kucheza huyo mtu?unajichanganya mwamba....huyu aliishia huko Kariakoo Lindi......Aliyecheza Simba ni Amri Said(Stam)
 
unaakili sana hongera nina Imani huwezi kuwa utopolo utakuwa mnyama mkali unalosema ni kweli kabisa simba anaisema ila kwa yanga hatari
 
Unaongea usichokijua hata kidogo ..unawajua walio nyuma ya jemedari wewe,Basi nikuambie hao ndo yanga asili ,hao kina hersi wakuja tu hao watoto wajuzi.unaijua yanga asili wewe,unawajua gongo wazi vizuri..
Hayo Yanga asili walikimbiliaga wapi kipindi Yanga inatembezq bakuli? Wao wakionaga udhamini tu ndo wanaibukaga
 
unabishana upumbavu tu huna unachokijua kuhusu mpira wa daslamu,..na humfahamu bwana kipara wewe.,ni mfia yanga kuliko wewe unaopiga kelele humu.
 
Alishiriki mazoezi. Kwa hiyo kumbe shida imebadilika, sio kuitembelea klabu, ila kushiriki mkutano? Hivi kumbe aliruhusiwa kupiga kura? Mkuu wa Mkoa naye alipiga kura? Kwa nini alienda kushiriki wakati kuna machinga wamerudi barabarani?
khaa unaongea nini ndugu, Azizik aliwahi kua mchezaji wa Asec aliecheza kwa mafanikio so pale ni kama amerudi nyumbani kwake, Manzok na Simba wana uhusiano gani?
 
Lakini mkumbuke bwana kuzumari aliwahi kucheza yanga pengine anaifahamu kushinda hata mashabiki na wakeretwa wengine
 
Lakini mkumbuke bwana kuzumari aliwahi kucheza yanga pengine anaifahamu kushinda hata mashabiki na wakeretwa wengine
Lini amewahi kuichezea yanga? Embu nifahamishe
 
Jemedari kaja mjini mwaka 2000 Sasa iyo Yanga anaijulia wapi zaidi ya kusikia stori za vijiweni?
Comment yako ya juu umemuita mtoto wa mjini halafu hapa unatwambia kaja mjini 2000 huyu mpalilia mikorosho anakuaje mtoto wa mjini?
 
NI KWA SABABU HAONGELEI SANA ZA MANCHESTER.DAWA YAKE NI WEWE KUONGELEA ZA KWAKE KAMA AMBAVYO UNAMUONGELEA KATIKA KUMPANGIA CHA KUZUNGUMZIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…