Hivi ni kwanini Jemedari anaongelea sana issues za Yanga

Kwasababu utopolo ni wajinga wasiojua mambo ya mikataba, kumchukia Jemedari ni sawa na kuendekeza ujinga.
Jemedari ni sawa na kuiga kunya kwa tembo atapasuka msamba mwenyewe, Yanga wameamua kumpuuza kwa maana wanamchukulia kama mpuuzi mmoja hivi anayejaribu kupambana na taasisi kubwa inayomzidi ukubwa, na hasira zake tunajua zinakotokea kwaiyo acha aendelee kujianika na nyie madunduka wenzake mpeni sana sapoti mkija kushtuka mtaisoma namba
 
Wewe ndio mjinga na jemedari Kama anajua Mambo ya mikataba mbona hawashauri Simba wamwambie Mo atoe pesa za udhamini na mabango yake kwenye jezi?.
Uyo jamaa acha nae ni miongoni mwa wale ambao wapo kwenye orodha ya rage
 
Hivi kwa nini maulidi kitenge anaongelea sana mambo ya simba
 
Hivi kwa nini maulidi kitenge anaongelea sana mambo ya simba
Muanzishie uzi wake special, kama una ushahidi.

Hapa anajadaliwa mbumbumbu mwenzenu Jemedari Said.
 
Unaakili wewe???
Issue ya Manzoki na Aziz Ki zinafanana??
Aziz Ki kacheza Asec Je Manzoki kacheza Simba?? Na Ni Lini??
Acha kushadadia ujinga Mkuu sema hilo simba walipuyanga.
Na Kwa Ujumla soka la Bongo lina Uzwazwa Mwingi Kama Huu wako unalinganisha Mchezaji aliechezea Team Flan na mchezaji ambae hata hana Ushikaji na Captain wa Team hio??
 
Jamaa chawa wa makolo kitambo tu. Anachanganya kazi na mapenzi
 
Issue ya Manzoki na Aziz Ki zinafanana??
Aziz Ki kacheza Asec Je Manzoki kacheza Simba?? Na Ni Lini??
Tufanye hivi. Nenda Jamhuri ya Kati ambako ndiko Manzoki ana uraia, mtafute na umuulize, kwa nini ulienda kwenye mkutano wa Simba wakati sisi Yanga hatupendi?
 
Huyo sisi hatushtui,ni form six failure kama vilaza wengine tu
 
Tufanye hivi. Nenda Jamhuri ya Kati ambako ndiko Manzoki ana uraia, mtafute na umuulize, kwa nini ulienda kwenye mkutano wa Simba wakati sisi Yanga hatupendi?
Unaona ulivyo Mbumbu imeshindwa ku Justify si ulikua unasema Aziz Kaenda Asec ninekuuliza Manzoki Kacheza Simba??
Coz hata Ulaya hio ni kawaida kwenda Team ambayo umecheza hapo zaman.
JIBU KIRAHISI TU NA UTAFANYA UONEKANE UNAA AKILI MKUU!
 
Hana akili huyo

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Unaona ulivyo Mbumbu imeshindwa ku Justify si ulikua unasema Aziz Kaenda Asec ninekuuliza Manzoki Kacheza Simba??
Coz hata Ulaya hio ni kawaida kwenda Team ambayo umecheza hapo zaman.
JIBU KIRAHISI TU NA UTAFANYA UONEKANE UNAA AKILI MKUU!
Kwa hiyo kufuatilia kilicholmeta Manzoki kwenye mkutano ndio kuwa na akili? Labda za kuvukia barabara
 
Watoto wa mjini??wahuni??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…