Kama kuna mtu anajua kilichopo nyuma ya pazia basi atujuze. Huyu mchambuzi amekuwa anaongea sana pale kunapotokea sintofahamu kwenye timu ya Yanga. Lkn mtu huyu amekuwa kimya kwa baadhi ya issues zenye sintofahamu pale Simba.
Mfano ni ukimya wake kwenye issue ya Manzoki kualikwa kwenye uchaguzi wa Simba akiwa ni mchezaji wa timu nyingine. Jambo hili lingefanywa na Yanga angetokwa povu wiki nzima. Aliwahi kunyamazia faulo mbaya aliyocheza Inonga kwa Sureboy lkn akaja juu sana faulo ya Morrison kwenye mechi ya Azam. Yanga wanapaswa kukosolewa pale wanapokosea. Lkn wengine je?
Naomba kujua kama jamaa ana sababu binafsi za ku-behave the way he does. Naona kama nchi inapoteza vijana wazuri
Sent from my SM-A307FN using
JamiiForums mobile app