Hivi ni kwanini Jemedari anaongelea sana issues za Yanga

Hersi na Manara ni watoto wa mjini Sasa wamesha mfanyia umafya wa kutosha, Kwaiyo jamaa Kila akipata nafasi kwenye kipaza sauti yeye anatema Nyongo.

Manara uwa wanajibishana ila Hersi kwakua ashajua Jemedari ni mchimba chumvi uwa anampotezea hajawahi kumjibu.
 
Kama kuna mtu anajua kilichopo nyuma ya pazia basi atujuze. Huyu mchambuzi amekuwa anaongea sana pale kunapotokea sintofahamu kwenye timu ya Yanga. Lkn mtu huyu amekuwa kimya kwa baadhi ya issues zenye sintofahamu pale Simba.

Mfano ni ukimya wake kwenye issue ya Manzoki kualikwa kwenye uchaguzi wa Simba akiwa ni mchezaji wa timu nyingine. Jambo hili lingefanywa na Yanga angetokwa povu wiki nzima. Aliwahi kunyamazia faulo mbaya aliyocheza Inonga kwa Sureboy lkn akaja juu sana faulo ya Morrison kwenye mechi ya Azam. Yanga wanapaswa kukosolewa pale wanapokosea. Lkn wengine je?

Naomba kujua kama jamaa ana sababu binafsi za ku-behave the way he does. Naona kama nchi inapoteza vijana wazuri

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
huyu jamaa ana njaa ya hatari na anatumia mbinu ya kuisema yanga ili apozwe kwa fedha sasa kakutana na yanga ngangari hata senti hapewi
 
jemedari said kazumari mtipa (the voice of the voiceless) ..wasichojua watu wa utopolo waliowengi ..huyu ni mwenzenu kabisa mwanachama kindaki ndaki wa gongowazi..mtu anaeijua yanga nje ndani na kashatumika kwenye mavugu vugu mengi yaliyowai kutokea yanga na kufukuzisha viongozi..jemedari ni sauti ya ant gsm ndani ya yanga na hawa wapo wengi sana..piteni pale magomeni tawi kubwa kbsa la yanga kwa wazee angu kina magoma mtazipata nyingi tu ,..na hili ni suala la muda tu walio chini ya maji nao watajitokeza sasa hivi wengi wameamua wakae kimya.
moja ya hoja zao kubwa ni yanga ssaiv inaongozwa na mamluki wengi kutoka nje wasoijua yanga,watu wa yanga wenyewe wametupwa kule..mzee msola kaondoka na mengi moyoni.huyu jemedari alikua kampeni meneja wa msola.
 
Huyu mchambuzi amekuwa anaongea sana pale kunapotokea sintofahamu kwenye timu ya Yanga. Lkn mtu huyu amekuwa kimya kwa baadhi ya issues zenye sintofahamu pale Simba.
Mshitaki TFF afungiwe kuongelea Yanga pekee kwani anakukera kutoongelea ya Simba.

Mambo mengine ya kijinga sana. Yaani mtu ale ugali sana kushinda wali halafu uanze kutuuliza sisi kwanini anakula sana na sio wali. Hii nchi hii sijui inakwama wapi
 
Mbona Manara anaiongelea Simba daily....
Ila kweli haipendi Yanga live live...
 
jemedari said kazumari mtipa (the voice of the voiceless) ..wasichojua watu wa utopolo waliowengi ..huyu ni mwenzenu kabisa mwanachama kindaki ndaki wa gongowazi..mtu anaeijua yanga nje ndani na kashatumika kwenye mavugu vugu mengi yaliyowai kutokea yanga na kufukuzisha viongozi..jemedari ni sauti ya ant gsm ndani ya yanga na hawa wapo wengi sana..piteni pale magomeni tawi kubwa kbsa la yanga kwa wazee angu kina magoma mtazipata nyingi tu ,..na hili ni suala la muda tu walio chini ya maji nao watajitokeza sasa hivi wengi wameamua wakae kimya.
moja ya hoja zao kubwa ni yanga ssaiv inaongozwa na mamluki wengi kutoka nje wasoijua yanga,watu wa yanga wenyewe wametupwa kule..mzee msola kaondoka na mengi moyoni.huyu jemedari alikua kampeni meneja wa msola.
Jemedari kaja mjini mwaka 2000 Sasa iyo Yanga anaijulia wapi zaidi ya kusikia stori za vijiweni?
 
jemedari said kazumari mtipa (the voice of the voiceless) ..wasichojua watu wa utopolo waliowengi ..huyu ni mwenzenu kabisa mwanachama kindaki ndaki wa gongowazi..mtu anaeijua yanga nje ndani na kashatumika kwenye mavugu vugu mengi yaliyowai kutokea yanga na kufukuzisha viongozi..jemedari ni sauti ya ant gsm ndani ya yanga na hawa wapo wengi sana..piteni pale magomeni tawi kubwa kbsa la yanga kwa wazee angu kina magoma mtazipata nyingi tu ,..na hili ni suala la muda tu walio chini ya maji nao watajitokeza sasa hivi wengi wameamua wakae kimya.
moja ya hoja zao kubwa ni yanga ssaiv inaongozwa na mamluki wengi kutoka nje wasoijua yanga,watu wa yanga wenyewe wametupwa kule..mzee msola kaondoka na mengi moyoni.huyu jemedari alikua kampeni meneja wa msola.
Jemedari anaipinga GSM na Eng. Hersi kuwa pale.

Miaka ya 2017/2018/2019/2020 alikua wapi kipindi Yanga iko hoi kiuchumi ? Saivi pesa ipo kaanza kelele?
 
Kusema Jemadari anaijua Yanga nje ndani hapo hapana. Hata Simba aliyochezea anaijua Kwa asilimia ndogo Sana. Yeye ana mahali pa kisemea yaani mgongo wa uchambuzi. Kaamua kuside na mapaungufu ya Yanga pekee ili apate sapoti ya wanasimba. Mashabiki wengi wa Tanzania wako kama wanasiasa, Baya haliwezi kuwa la timu yake. Shabiki wa Yanga Yuko tayari kuanzisha na kukomalia ubishi Mshery ni Bora kuliko Kakolanya na wa Simba akaanzisha na kukomalia Kibu Denis ni Bora kuliko Mayele na akapata sapoti ya watu wake.
 
Manzoki kuitembelea Simba sio ishu ya kujadili, ni kama vile Aziz Ki alivyoitembelea ASEC, utajadili nini sasa? Hili la Yanga na SportPesa kuna mambo mengi ya kuyaangalia maana halihusu mtu mmoja mmoja (Manzoki au Aziz Ki) bali linahusu klabu yenye wapenzi na wanachama nchini kote ambao wangependa kujua kinachofanywa na uongozi wao kwa niaba yao
Punguza ujinga swali la msingi ni manzoki alihudhuria ule mkutano Kama lecturer au mpiga kura?, Je ana kipi cha ziada mpaka awe sehem ya mkutano? Unaonekana mbumbu kufananisha Azizi key kwenda kufanya mazoezi na timu yake ya zamani wakati huo wanzuki sio na hajawahi kuwa mchezaji wa Simba.
 
Kwasababu utopolo ni wajinga wasiojua mambo ya mikataba, kumchukia Jemedari ni sawa na kuendekeza ujinga.
 
Kama kuna mtu anajua kilichopo nyuma ya pazia basi atujuze. Huyu mchambuzi amekuwa anaongea sana pale kunapotokea sintofahamu kwenye timu ya Yanga. Lkn mtu huyu amekuwa kimya kwa baadhi ya issues zenye sintofahamu pale Simba.

Mfano ni ukimya wake kwenye issue ya Manzoki kualikwa kwenye uchaguzi wa Simba akiwa ni mchezaji wa timu nyingine. Jambo hili lingefanywa na Yanga angetokwa povu wiki nzima. Aliwahi kunyamazia faulo mbaya aliyocheza Inonga kwa Sureboy lkn akaja juu sana faulo ya Morrison kwenye mechi ya Azam. Yanga wanapaswa kukosolewa pale wanapokosea. Lkn wengine je?

Naomba kujua kama jamaa ana sababu binafsi za ku-behave the way he does. Naona kama nchi inapoteza vijana wazuri

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Kanisani wanaongelea Sana shetani so usishangae kuiongelea
 
Kwasababu utopolo ni wajinga wasiojua mambo ya mikataba, kumchukia Jemedari ni sawa na kuendekeza ujinga.
Wewe ndio mjinga na jemedari Kama anajua Mambo ya mikataba mbona hawashauri Simba wamwambie Mo atoe pesa za udhamini na mabango yake kwenye jezi?.
 
Back
Top Bottom