Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Jua linawaka mchana na usiku (muda wote).unapoint mkuu hata mimi hua najiuliza sana kwanini jua linawaka mchana wakati kuna mwanga badala liwake usiku wakati wa giza
Mtu aliye pembeni na nyuma yake. Usisahau umbo la duania siyo bapa.Mfano ni toch inavyokumilka, chukua mpo watu wawili umbali wa mita 100 then toch imlenge mmoja, obviously mtu wa pili ambaye hajalengwa (pembeni) ataona mwanga hafifu (joto) tofauti na aliyemulikwa centre.
Let's say I'm marking your answer:Ukubwa wa jua haubadiliki
Joto la jua huwa haibadiliki
Ila
Jua katika mida ya saa 6 hadi 7,miale ya mwanga wa jua huwa inagonga perpendicular na atmosphere, inapenya kwa wingi ,joto huwa kali na jua huonekana dogo
Lakini jioni, Jua huwa kama lipo chini (Magharibi),kwahyo miale ya mwanga huwa inagonga katika angle kubwa na kufanya mingi ipotelee nje ya atmosphere/Tabaka la hewa
Miale inayofanikiwa kupenya ni michache kuliko mchana
Kwahyo joto huwa dogo na kuzagaa kwa miale hufanya Jua huonekana kubwa.
Uchawi upo kwenye the angle upon which solar rays hit the atmosphere....hapo ndipo husababishaLet's say I'm marking your answer:
2/5 marks
Umbali unaohusika hapa siyo kati ya dunia na jua kwa ujumla, bali ni kati ya eneo mahususi la dunia alipo mtazamaji na jua.Jua kali maana yake ni joto la uso wa dunia kuwa kali. Kwa sababu jua halibadiliki joto lake, bali ni uso wa dunia.
Hii inatokana na angle kati ya uso wa dunia na jua.
Dunia inazunguka mhimili wake mara moja katika masaa 24. Angle kati ya dunia na jua hubadilika kadri muda unavyosogea. Dunia inakuwa mbali zaidi na jua katika siku moja baada ya masaa 12.
Umbali wa dunia na jua huathiri joto la uso wa dunia kutokana na mavumbi kati ya dunia na jua na angle of incidence ya miale ya jua na uso wa dunia.
Tofauti ya umbali kati ya jua na dunia ,pia umbo la mduara la dunia lakini sababu zote mbili zinakua na maana kutokana na mzunguko wa dunia kulizunguka juaHivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio Kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana?
Wajuzi karibuni.
Asante sana.
Unachanganya mambo mawili kwa wakati mmoja.Uchawi upo kwenye the angle upon which solar rays hit the atmosphere....hapo ndipo husababisha
- Hali joto kupungua or kuongezeka
- Muonekano wa umbo la jua
- Aurora lights
Uchawi wote ni upon angle ya solar rays hitting the atmosphere....Unachanganya mambo mawili kwa wakati mmoja.
Swali ni mahususi kuhusu jua kali mchana kuliko magharibi na asubuhi.
Aidha, pembe ya miale ya jua inapaswa iwe kumridhi (with respect to) eneo mahususi la dunia na wala siyo angahewa tu.
Rejea jibu #28
Jibu hili ni ushahidi mkubwa kwamba watu wengi wanakiriri mambo na kunakili tu bila kujua wanachoandika.Jua linapochomoza au linapokaribia kuzama, nuru yake inapitia katika tabaka kubwa zaidi la angahewa kuliko wakati wa mchana.
Wakati wa mchana, nuru ya jua inapita katika tabaka la chini zaidi la angahewa, ambalo linasababisha nuru yake kupunguzwa kwa kiasi kikubwa zaidi.
Tabaka hili la chini la angahewa linasababisha nuru ya jua kugongana na chembe ndogo za vumbi na molekuli za hewa, hivyo kufanya nuru iwe kali zaidi na kusababisha anga kuonekana kuwa bluu.
Lakini wakati jua linapochomoza au linapokaribia kuzama, nuru yake inapita kwenye tabaka kubwa zaidi la angahewa. Kwa kuwa nuru inapitia umbali mrefu zaidi katika angahewa, chembe za vumbi na molekuli za hewa zina nafasi zaidi ya kuyatawanya mwanga mwekundu na rangi nyingine zenye mawimbi marefu.
Hii husababisha jua kuonekana kuwa na rangi ya machungwa au nyekundu, na pia kufanya nuru yake isiwe kali sana ukilinganisha na wakati wa mchana.
Njia rahisi kumuelewesha kuhusu hili ni katika matumizi ya tochi kumulika. Mwanga wa tochi unavyomulika mbali utawanyika zaidi lakini mwangaza na ukali wa mwanga wake hupungua. Lakini ukiweka mkono karibu natochi mwanga utamulika sehemu moja kwamaana ya mwanga utakusanywa na intensity yake itakuwa kali (mwangaza mkali).Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio Kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana?
Wajuzi karibuni.
Asante sana.
Hujajibu swali.The reason is that earth rotates on its axis and its takes 24 hours to make one revolution.
When we are on the side of Earth that is facing the Sun, we have daylight. As Earth continues its spin, we are moved to the side facing away from our Sun, and we have nighttime.
So pale dunia inapoanza kulitazama jua lazima ukali wa jua utakuwa mdogo na dunia inavyozidi kulitazama jua upande wetu linakuwa kali zaidi.
Shida ni uelewa wakoHujajibu swali.
0.5/10
Swali la msingi: Kwa nini jua liwe kali mchana kuliko asubuhi ^pale dunia inapoanza kulitazama jua,^ au jioni ^pale dunia [inapoacha] kulitazama jua^?So pale dunia inapoanza kulitazama jua lazima ukali wa jua utakuwa mdogo na dunia inavyozidi kulitazama jua upande wetu linakuwa kali zaidi.
Nimeelezea hapo, mchana jua linakuwa over the head.Swali la msingi: Kwa nini jua liwe kali mchana kuliko asubuhi ^pale dunia inapoanza kulitazama jua,^ au jioni ^pale dunia [inapoacha] kulitazama jua^?
Hayo ni maneno mengi tu ambayo kimsingi ni sawa na kusema uso wa dunia.Umbali unaohusika hapa siyo kati ya dunia na jua kwa ujumla, bali ni kati ya eneo mahususi la dunia alipo mtazamaji na jua.
Umbali huo huathiriwa na umbo la dunia.