Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana?

unapoint mkuu hata mimi hua najiuliza sana kwanini jua linawaka mchana wakati kuna mwanga badala liwake usiku wakati wa giza
Jua linawaka mda wote ila usiku linakuwa linawaka upande mwengine wa dunia ikiwa ni matokeo ya dunia kujizungusha
 
Aisee kuna watu hawakq serious kama yule aliyesema jua linatua kwenye mapembe ya shetani sijui aliitoa wapi idea hii ya kipumbavu
 
Mfano ni toch inavyokumilka, chukua mpo watu wawili umbali wa mita 100 then toch imlenge mmoja, obviously mtu wa pili ambaye hajalengwa (pembeni) ataona mwanga hafifu (joto) tofauti na aliyemulikwa centre.
Umejibu vyema.

Mwambie pia kuna sehemu huwa hawana jua la katikati linapita pembeni kulee. Pia hawana jua la masaa 12 yaweza kuwa saa 8 tu linapotea.
 
Dah! Umenikumbusha mambo ya rayleigh scattering kwenye course ya hydrometeorology. Umeeleza vyema sana.
 

Physical Geography Advance.


Hapo majibu ni mawili tuu.
Ni length of Insolation
Distance between Earth and Sun
 
Sio kweli kama mtaalamu
Hujajibu swali.
0.5/10
Umeelezea concept ya usiku na mchana. Sio intensity of Sunrays during the day time.
 
Nauliza tu wakati wa kipindi cha mvua jua huwa linazuiwa na kitu gani?
Ni very simple kufahamu. Kuna aina za mawingu na sifa zake. Lakini pia kiasi cha humidity huweza kupunguza miale ya jua hado 60%. Dust on atmosphere, quantity of water vapour.nk Lakini hali hii haifany joto kupotea. Dunia ikipoteza joto lake kwa dk 3 hakuna maisha katika dunia.
 
Ikupe kufahamu kuwa, Dunia haizunguki, ila jua na mwezi huzunguka kufanya movement.

Shule zimewajaza matango pori,

BIBLIA ilishasema wazi, jua na mwezi huzunguka.
Imani ni shambulio la akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…