Hivi ni kwanini kuna maeneo hapa jijini hakuna maji na watu wamekaa kimya?

Hivi ni kwanini kuna maeneo hapa jijini hakuna maji na watu wamekaa kimya?

Kinyerezi Kuelekea Saranga kuna tatizo gani?

Hili eneo lina mgogoro mkubwa sana si bure.

Kucha kutwa watoto, wamama na ndoo za maji kichwani au huku ni nje ya nchi?

Au wamekosea nini hawa raia? Bila shaka mtandao wa maji kutokea kimara una kasoro...wahusika fuatilieni.
Tukutane 2025 🤪🤪
 
Tukutane 2025 🤪🤪
Tuache siasa. Maji hakuna kabisa...na huyu anayejiita Mbunge wa maeneo ya segerea mwakan labda aibe kura..bungeni aage kabisa maana hatarudi
 
Kinyerezi Kuelekea Saranga kuna tatizo gani?

Hili eneo lina mgogoro mkubwa sana si bure.

Kucha kutwa watoto, wamama na ndoo za maji kichwani au huku ni nje ya nchi?

Au wamekosea nini hawa raia? Bila shaka mtandao wa maji kutokea kimara una kasoro...wahusika fuatilieni.

Mama Edina!
 
Maeneo mengi Dar hakuna maji kabisa, tumeshaandika humu lakini mods wanaunganisha kwenye ule uzi wa DAWASA.

Labda ndio wanamtengenea mazingira ya "mambo kuharibika kwelikweli" kama walivyosema kwenye ule mkutano wao. Mwenyewe hana habari, kutwa kucha kiguu na njia.
 
Back
Top Bottom