Hivi ni kwanini kuna maeneo hapa jijini hakuna maji na watu wamekaa kimya?

Tukutane 2025 🤪🤪
 
Tukutane 2025 🤪🤪
Tuache siasa. Maji hakuna kabisa...na huyu anayejiita Mbunge wa maeneo ya segerea mwakan labda aibe kura..bungeni aage kabisa maana hatarudi
 
Mama Edina!
 
Maeneo mengi Dar hakuna maji kabisa, tumeshaandika humu lakini mods wanaunganisha kwenye ule uzi wa DAWASA.

Labda ndio wanamtengenea mazingira ya "mambo kuharibika kwelikweli" kama walivyosema kwenye ule mkutano wao. Mwenyewe hana habari, kutwa kucha kiguu na njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…