Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Zidumu daima
Hivi hata wanawake si wana nyumba ndogo? au zao zinaitwa nyumba kubwa?
Hivi hata wanawake si wana nyumba ndogo? au zao zinaitwa nyumba kubwa?
:becky::becky: hapo nimeelewa kumbe nyumba ndogo zinaisadia nyumba kubwa kutoa huduma ya PENZI tatizo ni muda na mahali tu , zidumu daima nyumba ndogo :clap2: