Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
my Bro,kwasasa hata nipate jaribu gani ntapambana nalo , kifo tu ndio hakiwezekaniki, lile lilikuwa somo kwangu kiasi cha kutosha,lakini mwenyewe alikuja kuniambia mie nina roho ngumu sana, "yaani nina kurudia asubuhi nakuta nimeandaliwa kila kitu na mie nilivyo fendee na breakfast napata bila kufikiria huyu mwanamke anafikiria nini kichwani kwake kunifanyia haya" hahaha baada ya kasheshe kuasha yeye ndio alikuwa anapata tabu ya kutaka kujua nilikuwa "naishije" kwenye hiyo miezi 6.
Experience ndiye mwalimu bora.....
Naomba Mungu akikujalia ukaanza kukunja mgongo na kushika mkongojo basi utuwekee uzoefu wako kwenye kitabu..
Babu DC!!