:becky::becky: hapo nimeelewa kumbe nyumba ndogo zinaisadia nyumba kubwa kutoa huduma ya PENZI tatizo ni muda na mahali tu , zidumu daima nyumba ndogo :clap2:
Atakuwa anajifunza kuchit matokeo yake ndo hayo na nyumba ndogo janja sana zikuona mtu wa design hiyo wanamwonjesha tiGo jamaa apagawe kabisa kama hajaitelekeza familia sijui
TENA ATUPATE ATUSIKIE UZURI!he he heeeeeeeee, nina uhakika rafiki Dena Amsi katupata....
acha kulia songa mbele shosti.....
ni upepo tu utapita
mwanaume atasema lolote na chochote kukutia.
ahahahahhahahhahahhahahha narudia kwa herufi kubwa itakuwa hawajasikia
MWANAUME ATASEMA LOLOTE NA CHOCHOTE KUKUTIA!
(dada mkubwa mi nimenukuu tu)
ahahahahhahahhahahhahahha narudia kwa herufi kubwa itakuwa hawajasikia
MWANAUME ATASEMA LOLOTE NA CHOCHOTE KUKUTIA!
(dada mkubwa mi nimenukuu tu)
Nyumba ndogo ina muda
Hukosi vikorombwezo kama masage, kuogeshwa, manjonjo ya hapa na pale
Saa hizo nyumba kubwa inafagia banda la ng'ombe, ikimaliza ikamue, ukirudi imechooka
Aiseee....
dahhhhh
itakaekosa kusoma hilo ni kipofu..
mimi naamini sana hilo
BTW: The so called "Matatizo ya Wanawake" yanafanana sana...! Ndiyo maana mwanaume akienda nyumba ndogo anasimulia "matatizo" ya mkewe na akirudi kwa mkewe anasimulia "matatizo" ya nyumba ndogo - kwa kauli tofauti lakini zinazo maanisha jambo lile lile..."
Kwa mkewe..." Kuna dada mmoja pale ofisini, hajui hata kusafisha kikombee baada ya kunywa chai, yaani yeye uwa anakiacha mezani hadi kesho yake napokuja "dada wa usafi"...!
Kwa nyumba ndogo... " Mke wangu awezi hata kunipakulia chakula, uwa anasubiri "housigeli" apakue"...!