Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu


Umenikumbusha baba mmoja wa kichaga hapo Temboni amedumu na nyumba ndogo miaka 8 baba akaamua kuzama Mlimani City kununua mazagazaga kama ya m.5 kumwezesha nyumba ndogo ile nyumba ndogo ikabidi impe jamaa tiGo kama shukrani dah mzee alivyo zama akakuta shimo pana tiGo imekuwa overused alisikitika yule mzee akasema miaka yote 8 ilikuwa unaninyima huduma hii kumbe ulikuwa unawapa wengine kuanzia leo sikutaki tena basi akamtosa na kumwachia vitu pale pale.
 

Wewe sasa unataka kunivunha mbavu....

Ulishaona wapi bubu akawa MC???


Babu DC!!
 

:becky::becky::becky: lakini afrodenzi kazi si kusaidiana?
 
Last edited by a moderator:
Unataka kuwa mjane ukingali bado wadai??

Telling a man kwamba unafikiria tu wala siyo kufanya ni sawa na kumpa kidonge cha cyanide....

Msamehe mzee mwenzangu........

Babu DC!!!

mie siku zile ya usuluhishi nilimaliza nyongo yangu yote, yaani niliongea mpaka mama nyamayao aliweka mkono kichwani, hahaha ananinyamazisha kinyumbani wapii, sema kuna yaliyomkaa rohoni mpaka leo, mana nilimuuliza kama ananiona mie kiazi kiasi hicho kumuheshimu au anadhani mie nikitoka asubuhi home na kurudi mausiku nakutana na vipofu tu? basi ujue naonwa, na najaribiwa sana tena sana kuliko unavyofikiri, na unajua mkeo bado nalipa sana tu pamoja na watoto wawili,usinishawishi kabisa kabisa,mana utaucheza mnanda na nikifikia huko ujue nipo tayari kwa lolote ndio mana nimeamua kufanya, so usinishawishi mana hata marafiki zako nikikutajia hapa utazirai wewe, uuhhh, niliongea kupitiliza, hayo yamemkaa kichwani haswaaaaaa, nilisema simalizi kesi kwa kuumia mwenyewe, tuumie wote then tulisongeshe.
 
Kuku huchosha kila siku kwa hiyo wanamme huenda kuonja dagaa kwa majirani


Hivi unajua waweza jikuta umeolewa na zombie? afu wa ukweee yupo yupo tu?

ahhhhhh we bibie wee..
kuku hachoshi kabisa yaani..
we kama unachemsha kila siku uache ..

unatakiwa uanze kugundua njia zingine za kupika kuku.
chicken parmesan, chicken taquitos and tacos , chicken spaghetti, Italian chicken, teriyaki chicken, chicken stir fry, bbq chicken, breaded chicken sandwiches, carving board chicken sandwiches, chicken nuggets and strips , chicken soup, chicken casserole, baked chicken and foil ....

ushindwe mwenyewe......
 


Kwa vituko sikuwezi.....

Mzee hayo mauchafu anahangaika nayo ili iweje??

Haya bwana,

Ngoja nikapate lunch kwa Bibi...

Babu DC!!
 
Kwa vituko sikuwezi.....

Mzee hayo mauchafu anahangaika nayo ili iweje??

Haya bwana,

Ngoja nikapate lunch kwa Bibi...

Babu DC!!

hahahaha mzee wa watu kawekeza m.5 kwa nyumba ndogo kwa ajili ya kubadili radha :becky::becky:
 

mchele mmoja mapishi mbali mbali kuna kitumbua, pilau, wali mweupe n.k swala la radha uliangalie hapo
 
Nitaanza kufanya haya pia


Ina na dagaa tuwaonee huruma, watakosa soko ujue?

 

Hilo tishio lilikuwa zaidi ya lile la G Bush Jr kwa Sadam Hussein......

Ila naamini hukumwambia kwamba umeshaanza mchakato wa kuwaonjesha...

Kwani sasa hivi angekuwa ni historia............

Men are soft kuliko kitu chochote ninachokijua.........

CC... Dena Amsi,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…