Hivi ni kwanini mabinti wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

Unanikumbusha mwanamke mmoja aliekuwa hajui kuandika lakini aligraduate ud 2014, na sasa ni muajiriwa hapo, nilipofuatilia nikagundua ni channel nyingi zinapeleka watu vyuoni, kuna ndugu, marafiki na hata mama sa*ma na waathirika wake!
 
Mods mtuwekeee kitufe cha ku DISLIKE kama thread haina mashiko, mf hii thread
 
Unanikumbusha mwanamke mmoja aliekuwa hajui kuandika lakini aligraduate ud 2014, na sasa ni muajiriwa hapo, nilipofuatilia nikagundua ni channel nyingi zinapeleka watu vyuoni, kuna ndugu, marafiki na hata mama sa*ma na waathirika wake!

Hajui kuandika kivipi?

Mbona hata wewe comment yako inaonesha hujui kuandika? Kwa sababu hueleweki hata unachokimaanisha!

Wonders shall never end!
 
nimegundua wengi mnaonishambulia hamkubahatika kusoma mlimani,kwa hiyo kwenye hii thread ndo mmepata pa kutolea hasira zenu za kupakosa.

We kweli kilaza saana,,,,,kwan kusoma mlimani ndo kusoma oxford au havard

Mbona uelewa wako mdogo basi kama ni ivo waliosoma mlimani wote wangekuwa ktk system za ajira

Sometime u need to think critical na sio kuzungumza polojo

Huenda ni ulimbukeni wa chuo tu ndugu but try to be different in ur mind vinginevyo elimu yako haitakuwa na maana na zaid kukichafua chuo chako kwa post kama izo

Shame on you
 
Hahahaaa mbavu zangu mie jamani,nimecheka hadi basi.Mleta mada njoo huku ujibu hoja za watu.Et udsm mweee kwl Mulugo typ
 
Inawezekana jaman..., maana mshikaji amesema Wanaume ni wa UDSM ila hajasema Mabinti ni wa wapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…