Hivi ni kwanini Misikiti mingi inakodisha Frame za biashara na kulaza Magari katika maeneo yao ya msikiti?

innocentmark

Member
Joined
Aug 7, 2020
Posts
56
Reaction score
75
Hivi niseme kutafuta vyanzo vya mapato katika msikiti na kwanini ni wao tu mbona Makanisa katoliki hakunaga utaratibu huu?

Na wale wazee wanakuwepo pale Kkoo na bango la msaada wa ujenzi Msikiti huwa ni kweli au imani anakaa juan kuanzia asubuhi hadi jion au ni imani imemtuma?
 
1. Makanisa mengi ni taasisi za kimataifa yanapata misaada toka nje
2. Makanisa yanapata Ruzuku toka serikalini.

Taasisi za kiisilamu ambazo ni za Kimataifa kama Feza, Istiqama, Aga Khan, Bohra, DYCC etc huwezi kuta misikiti yao wanachangisha sadaka sababu ni Taasisi za Kimataifa zenye Uchumi mkubwa.

Taasisi ya Bakwata na inavyovisimamia kama Misikiti ya mtaani ndio unakuta Njaa nyingi. Kifupi Bakwata ni failure kwenye Usimamizi wa Mali za Waisilamu.
 
Kanisa gani linapata ruzuku aisee na Mimi nianzishe langu. Maana inaonekana serikali Ina fedha za kutosha yani
 
Ndiyo mwisho wa upeo wao wa kufikiri. Hiyo biashara haihitaji kutumia akili zaidi ya kujenga tu fence au hata bila kujenga fence.

Kuanzisha hata maktaba inataka utumie akili za ziada kitu ambacho wengi wanaoanzalisha parking za kulaza magari hawataki kusumbua akili zao
 

Kwanini
Nikutumiaa tu fursa Ili kuongeza kipato Cha msikiti....
Hawakupa masharti ya fremu usiuze sigara ama pombe?
 
Pesa
 
Kwanini wakristo mnapenda kuteseka na mambo ya waislamu lkn?
 
Kwasababu waumini hawatumiki kama mtaji pesa inayopatikana kwenye hizo biashara ndo inaenda kulipa gharama za maji umeme na mambo mengine
 
Mnalipwa huko makanisani kuujadili na kuwajadili waislam
 
Pale Msimbazi centre zile fremu sio biashara? Au ni msikiti ule? Na Kanisa Katoliki Magomeni zile fremu za nini kama sio biashara?
 
Makanisa wanapesa na wazungu ya kuendeshea
 
Kwako wewe parking siyo biashara?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…