mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Magomeni ndy kuna frame kibaoooPale Msimbazi centre zile fremu sio biashara? Au ni msikiti ule? Na Kanisa Katoliki Magomeni zile fremu za nini kama sio biashara?
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magomeni ndy kuna frame kibaoooPale Msimbazi centre zile fremu sio biashara? Au ni msikiti ule? Na Kanisa Katoliki Magomeni zile fremu za nini kama sio biashara?
Kobazi huwa hawatoi sadaka kwenye msikiti kwa sababu ya roho mbaya kuona watamfaidisha imamu,kuna wakati misikiti inakosa hata hela ya luku ya umeme au maji,hivyo huanza kuomba msaada kwa wasamalia wema.Hivi niseme kutafuta vyanzo vya mapato katika msikiti na kwanini ni wao tu mbona Makanisa katoliki hakunaga utaratibu huu?
Na wale wazee wanakuwepo pale Kkoo na bango la msaada wa ujenzi Msikiti huwa ni kweli au imani anakaa juan kuanzia asubuhi hadi jion au ni imani imemtuma?
Sikasema kuwa siyo biashara.Kwako wewe parking siyo biashara?...
Wale Wengine Ni Genge La Wahuni Hawahusiani Na MsikitiNikutumiaa tu fursa Ili kuongeza kipato Cha msikiti....
Ni muda mrefu sasa makanisa hayapati msaada toka ulaya,mengi yanajitegemea ndio mana unaona waaumini kila siku wanalalamika kuwepo kwa michango na sadaka nyingi,uzuri wakristo sio wachoyo ni watu wanaojitoa sana kwenye suala la sadaka na michango ya kanisa ndio mana unaoa makanisa mengi yanaendelea.1. Makanisa mengi ni taasisi za kimataifa yanapata misaada toka nje
2. Makanisa yanapata Ruzuku toka serikalini.
Taasisi za kiisilamu ambazo ni za Kimataifa kama Feza, Istiqama, Aga Khan, Bohra, DYCC etc huwezi kuta misikiti yao wanachangisha sadaka sababu ni Taasisi za Kimataifa zenye Uchumi mkubwa.
Taasisi ya Bakwata na inavyovisimamia kama Misikiti ya mtaani ndio unakuta Njaa nyingi. Kifupi Bakwata ni failure kwenye Usimamizi wa Mali za Waisilamu.
Wakati mwingine nashauri uulize swali la moja kwa moja. Unapolinganisha msikiti na kanisa Katoliki, utasababisha tu myukano wa kiimani usio na ulazima.Hivi niseme kutafuta vyanzo vya mapato katika msikiti na kwanini ni wao tu mbona Makanisa katoliki hakunaga utaratibu huu?
Na wale wazee wanakuwepo pale Kkoo na bango la msaada wa ujenzi Msikiti huwa ni kweli au imani anakaa juan kuanzia asubuhi hadi jion au ni imani imemtuma?
Mtoa mada aliekuambia kuwa utaratibu wa wakristo lazima na waislamu waufate? Nyiny munaswali swala tano?Hivi niseme kutafuta vyanzo vya mapato katika msikiti na kwanini ni wao tu mbona Makanisa katoliki hakunaga utaratibu huu?
Na wale wazee wanakuwepo pale Kkoo na bango la msaada wa ujenzi Msikiti huwa ni kweli au imani anakaa juan kuanzia asubuhi hadi jion au ni imani imemtuma?
Kwahiyo wale waliobuni zile flem pale Msimbazi Center kanisani na Pale Magomeni kanisani nao wana upeo mdogo kama ulivyodai?...Sikasema kuwa siyo biashara.
Sijawah kuona Msikiti ukiwa hakuna Parking za Magari au frem za biashara...!Kwanini wakristo mnapenda kuteseka na mambo ya waislamu lkn?
Umesikia ya Sheria mpya huko Afghanistan?Mtoa mada aliekuambia kuwa utaratibu wa wakristo lazima na waislamu waufate? Nyiny munaswali swala tano?
Munahijji?
Ujumbe Wenu Huo Aliutoa Mtume Muhammad Swallallahu Alayh Wasallah Miaka Zaidi 1400 iliyopita
لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ ﴿٦﴾
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Suuratl Al Kaafiruun
Na matumizi ya sadaka?Kwasababu waumini hawatumiki kama mtaji pesa inayopatikana kwenye hizo biashara ndo inaenda kulipa gharama za ?
Mtoa mada aliekuambia kuwa utaratibu wa wakristo lazima na waislamu waufate? Nyiny munaswali swala tano?
Munahijji?
Ujumbe Wenu Huo Aliutoa Mtume Muhammad Swallallahu Alayh Wasallah Miaka Zaidi 1400 iliyopita
لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ ﴿٦﴾
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Suuratl Al Kaafiruun
Sijawah kuona Msikiti ukiwa hakuna Parking za Magari au frem za biashara...!