Hivi ni kwanini Misikiti mingi inakodisha Frame za biashara na kulaza Magari katika maeneo yao ya msikiti?

Pale Msimbazi centre zile fremu sio biashara? Au ni msikiti ule? Na Kanisa Katoliki Magomeni zile fremu za nini kama sio biashara?
Magomeni ndy kuna frame kibaooo

Ova
 
Kobazi huwa hawatoi sadaka kwenye msikiti kwa sababu ya roho mbaya kuona watamfaidisha imamu,kuna wakati misikiti inakosa hata hela ya luku ya umeme au maji,hivyo huanza kuomba msaada kwa wasamalia wema.

So kujenga fremu ni kama kujiongeza njia ya mapato ili waweze kusurvive kuhudumia msikiti.
 
Ni muda mrefu sasa makanisa hayapati msaada toka ulaya,mengi yanajitegemea ndio mana unaona waaumini kila siku wanalalamika kuwepo kwa michango na sadaka nyingi,uzuri wakristo sio wachoyo ni watu wanaojitoa sana kwenye suala la sadaka na michango ya kanisa ndio mana unaoa makanisa mengi yanaendelea.

Hakuna kanisa linalopokea ruzuku toka serikalini kama lipo naomba ushahidi hapa wa kinyaraka useme wanapokea fedha kiasi gani,tofauti na hapo ni hoja mfu na za chuki zilizojaa unafiki.
 
Wakati mwingine nashauri uulize swali la moja kwa moja. Unapolinganisha msikiti na kanisa Katoliki, utasababisha tu myukano wa kiimani usio na ulazima.
 
Mtoa mada aliekuambia kuwa utaratibu wa wakristo lazima na waislamu waufate? Nyiny munaswali swala tano?
Munahijji?

Ujumbe Wenu Huo Aliutoa Mtume Muhammad Swallallahu Alayh Wasallah Miaka Zaidi 1400 iliyopita

لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ ﴿٦﴾

6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.

Suuratl Al Kaafiruun
 
Umesikia ya Sheria mpya huko Afghanistan?
 

Swadakta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…