Hivi ni kwanini Mo dewji katambulishwa badala ya mwenyekiti wa Simba sc Mangungu?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Wajuzi naomba mnisaidie kwa nini katambulishwa Rais wa Heshima Mo dewj badala ya Mwenyekiti aliyechaguliwa na wanasimba kwa kumpigia kura na kushinda.

Upande wa Al ahly alitambulishwa Mwenyekiti wa Timu lakini nimeshangazwa kumuona Mo dewji (raisi wa kujipa) yeye ndiyo kuwa mbele na Mwenyekiti Mangungu hata kuonekana kwa bahati mbaya hakuna.

Nisipojibiwa hili swali nitaamini moja kwa moja kuwa Mo dewji kajimilikisha timu bila ya wanasimba kujua.
 
Unatafutwa kwenye nyuzi zako ulizozitelekeza!!! Inadaiwa umejifungia pahala ukilia ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!! Eti hicho ni kilio cha kichawi baada ya uchawi kugonga mwamba!! Eti wenye akili walijua simba hawezi kulamba pesa za mama ndio maana akaahidiwa m10!! Sasa simba amelamba m20. Mwenye akili zako unasemaje?
 
Ndo maana inaitwa mbumbumbu kanjibhai futiboli klubu
be700e57-0c00-4107-8255-6a6c20b2b6e7.jpg
 
Wajuzi naomba mnisaidie kwa nini katambulishwa Rais wa Heshima Mo dewj badala ya Mwenyekiti aliyechaguliwa na wanasimba kwa kumpigia kura na kushinda.

Upande wa Al ahly alitambulishwa Mwenyekiti wa Timu lakini nimeshangazwa kumuona Mo dewji (raisi wa kujipa) yeye ndiyo kuwa mbele na Mwenyekiti Mangungu hata kuonekana kwa bahati mbaya hakuna.

Nisipojibiwa hili swali nitaamini moja kwa moja kuwa Mo dewji kajimilikisha timu bila ya wanasimba kujua.
Nendeni mkashitaki CAS
 
Sina hulka ya kumdharau mtu nisiye mfahamu..ila wewe nafsi imenishinda..NAKUDHARAU SANA..dharua hii inatokana na Uzi zako za kiboya boya..sijui modes unawapa nini
ACHA USHUBWADA JIKITE KWENYE HOJA.
 
Wajuzi naomba mnisaidie kwa nini katambulishwa Rais wa Heshima Mo dewj badala ya Mwenyekiti aliyechaguliwa na wanasimba kwa kumpigia kura na kushinda.
Kwa sababu ni maarufu kulinganisha na wauza magodoro
 
Yeye ndie anaetoa pesa na connection kuifanikisha Simba, kama kajimilikisha kinachokuuma wewe ni nini 🤔🤔
 
Lala kidogo...
Mwenyekiti nadhani yy aendelee kukalia tuu hicho kiti mengine hayamuhusu..
 
Wajuzi naomba mnisaidie kwa nini katambulishwa Rais wa Heshima Mo dewj badala ya Mwenyekiti aliyechaguliwa na wanasimba kwa kumpigia kura na kushinda.

Upande wa Al ahly alitambulishwa Mwenyekiti wa Timu lakini nimeshangazwa kumuona Mo dewji (raisi wa kujipa) yeye ndiyo kuwa mbele na Mwenyekiti Mangungu hata kuonekana kwa bahati mbaya hakuna.

Nisipojibiwa hili swali nitaamini moja kwa moja kuwa Mo dewji kajimilikisha timu bila ya wanasimba kujua.
Wewe CHOKO wiki nzima ulikesha JF humu kuandika HARO zako kwamba Simba atafungwa atake asitake,tuambie kafungwa ngapi??jifunze kutuliza MAKALIO yako hayo CHOKO wewe
 
Back
Top Bottom