NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Wajuzi naomba mnisaidie kwa nini katambulishwa Rais wa Heshima Mo dewj badala ya Mwenyekiti aliyechaguliwa na wanasimba kwa kumpigia kura na kushinda.
Upande wa Al ahly alitambulishwa Mwenyekiti wa Timu lakini nimeshangazwa kumuona Mo dewji (raisi wa kujipa) yeye ndiyo kuwa mbele na Mwenyekiti Mangungu hata kuonekana kwa bahati mbaya hakuna.
Nisipojibiwa hili swali nitaamini moja kwa moja kuwa Mo dewji kajimilikisha timu bila ya wanasimba kujua.