NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Unatafutwa kwenye nyuzi zako ulizozitelekeza!!! Inadaiwa umejifungia pahala ukilia ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!! Eti hicho ni kilio cha kichawi baada ya uchawi kugonga mwamba!! Eti wenye akili walijua simba hawezi kulamba pesa za mama ndio maana akaahidiwa m10!! Sasa simba amelamba m20. Mwenye akili zako unasemaje?Wajuzi naomba mnisaidie kwa nini katambulishwa Rais wa Heshima Mo dewj badala ya Mwenyekiti aliyechaguliwa na wanasimba kwa kumpigia kura na kushinda.
Upande wa Al ahly alitambulishwa Mwenyekiti wa Timu lakini nimeshangazwa kumuona Mo dewji (raisi wa kujipa) yeye ndiyo kuwa mbele na Mwenyekiti Mangungu hata kuonekana kwa bahati mbaya hakuna.
Nisipojibiwa hili swali nitaamini moja kwa moja kuwa Mo dewji kajimilikisha timu bila ya wanasimba kujua.
Ndo maana inaitwa mbumbumbu kanjibhai futiboli klubu
Waombe sanaAl ahly maji ya shingo,chupuchupu zilikua zinagonga mwamba,Ntibazonkiza huyu💪
Nendeni mkashitaki CASWajuzi naomba mnisaidie kwa nini katambulishwa Rais wa Heshima Mo dewj badala ya Mwenyekiti aliyechaguliwa na wanasimba kwa kumpigia kura na kushinda.
Upande wa Al ahly alitambulishwa Mwenyekiti wa Timu lakini nimeshangazwa kumuona Mo dewji (raisi wa kujipa) yeye ndiyo kuwa mbele na Mwenyekiti Mangungu hata kuonekana kwa bahati mbaya hakuna.
Nisipojibiwa hili swali nitaamini moja kwa moja kuwa Mo dewji kajimilikisha timu bila ya wanasimba kujua.
ACHA USHUBWADA JIKITE KWENYE HOJA.Sina hulka ya kumdharau mtu nisiye mfahamu..ila wewe nafsi imenishinda..NAKUDHARAU SANA..dharua hii inatokana na Uzi zako za kiboya boya..sijui modes unawapa nini
Mods wamewaacha wajaze nyuzi zao za kipumbavu ili litimie lile neno la Nabii Haji Manara kuwa huko ni kusanyiko la majuhaSina hulka ya kumdharau mtu nisiye mfahamu..ila wewe nafsi imenishinda..NAKUDHARAU SANA..dharua hii inatokana na Uzi zako za kiboya boya..sijui modes unawapa nini
Kwa sababu ni maarufu kulinganisha na wauza magodoroWajuzi naomba mnisaidie kwa nini katambulishwa Rais wa Heshima Mo dewj badala ya Mwenyekiti aliyechaguliwa na wanasimba kwa kumpigia kura na kushinda.
ONGEZEA NA ALIYEKUWA MWENYEKITI NA KUWAITA NYINYI KUWA NI "MBUMBUMBU"Mods wamewaacha wajaze nyuzi zao za kipumbavu ili litimie lile neno la Nabii Haji Manara kuwa huko ni kusanyiko la majuha
Wewe CHOKO wiki nzima ulikesha JF humu kuandika HARO zako kwamba Simba atafungwa atake asitake,tuambie kafungwa ngapi??jifunze kutuliza MAKALIO yako hayo CHOKO weweWajuzi naomba mnisaidie kwa nini katambulishwa Rais wa Heshima Mo dewj badala ya Mwenyekiti aliyechaguliwa na wanasimba kwa kumpigia kura na kushinda.