Hivi ni kwanini mtu Malaya watu wanamuita kicheche?

Mebu nitofautishie kwa picha mkuu huenda mimi nakutana na mapupu tu vichwa
Ladha ya pupu sifa yake ni ulaini na halina mfupa 😂.. Ndio maana uswazi wanasemaga.. laini kama supu ya mapupu😋
 
Mkuu huyo kicheche ana high libido kumzidi fisi maji???

Fisi maji ana balaa lake, anaweza piga miti hadi jiwe au mti .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…