Hivi ni kwanini mtu Malaya watu wanamuita kicheche?

Mnyama kicheche ana tabia ya kutotulia mahali pamoja na anajulikana kwa kuwa na hamu kubwa ya kujamiiana. Hana mpenzi mmoja (single partner); anaweza kujamiiana na wanyama wengi tofauti kwa muda mfupi.
Kumbe jibu unalo mkuu kwamba kwa nini malaya huitwa ni vicheche,hapo ulipobold,🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…