Unaweza kuta hata lilishapata ajali, tena limekuwa write off kabisa, na watakudai hata kama ni miaka 20Tatizo ni pale wanapoendelea kudai hata kama gari liko garage au lilisha haribika levle ya scrape.
Lipa kodi mkuu,ukiwa na gari usiogope stika!Kwa style hii, yule atakaetumia barabara zaidi ndie atakaelipa zaidi, sio mtu unatumia gari mara moja kwa mwaka lakini ulipe sawa na mtu aliesababisha foleni kila siku mwaka mzima! Pia itaindoa usumbufu wa kulipa na kubandika mastika pamoja na kusimamishana eti ukaguzi wa stika, ni harassment kwa kweli.
Ya kwetu ni motor vehicle licence.Lipeni kodiMakes a lot of sense, Zanzibar wana sheria hiyo tayari road license inalipiwa kwenye mafuta.
Motor vehicle ndio road licenseYa kwetu ni motor vehicle licence.Lipeni kodi
Sawa tulipe tu mkuuMotor vehicle ndio road license
Hii ni moja ya michango bora katika Bunge linaloendelea sasa. Hamna gari inayostahili kulipia road licence kama haipo barabarani, cha ajabu wamiliki wenye magari yasiyotembea kwa ubovu ama ajali yangali yanachajiwa road licence na penalty juu na zaidi ya yote hata kama gari langu ni zima ila siko barabarani kwa muda tajwa ya nini nilipie road licence?
Wenye mamlaka jiongezeni kidogo tu, hamna gari itakayokuwa barabarani bila nishati na kadiri mtu atakavyotumia barabara ndivyo jinsi itakovyombidi kununua nishati husika na ndivyo jinsi atakavyolipia barabara na probably kipato cha serikali kitaongezeka zaidi.
Hongera mtoa hoja, hongera wabunge wote mwitikio wenu tumeuona, kazi kwenu serikali!!
=====
Serikali imeahidi kuifanyia marekebisho sheria inayoagiza tozo ya umiliki wa vyombo vya moto (road license) ili kuondoa kero kwa wananchi.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji amesema hayo bungeni leo (Ijumaa) alipojibu swali la Dk Raphael Chegeni aliyetoa pendekezo hilo ili kodi hiyo iendane na matumizi halisi ya vyombo vya moto barabarani.
"Tozo hii ipo kisheria. Serikali imesikia mapendekezo ya wabunge na itaangalia namna nzuri ya kuboresha ukusanyaji wa mapato hayo," amesema Dk Kijaji.
Wabunge wengi, akiwamo Spika wa Bunge Job Ndugai wamependekeza kufutwa kwa kodi hiyo inayowaathiri zaidi walioegesha magari kwa muda mrefu kutokana na ubovu au ajali.
Pikipiki inayotumia mafuta kidogo inabeba max watu watatu, basi la mkoa linabeba hadi 60, get the point?Atakaetumia barabara au atakaetumia mafuta mengi ndio atalipa zaidi? Najua unajiuliza kivipi? Ni hivi toyota passo akiweka lita 10 approximately 20,000 atatembea zaidi ya 100km.
Range rover 4.4i V8 akiweka lita 10 atatembea chini ya 60km. Sasa nani katumia barabara zaidi?!
Lakini ukiandika barua kwa mamlaka husika si wanalifuta kwenye system, hivyo hutaendelea kulilipia tena?Unaweza kuta hata lilishapata ajali, tena limekuwa write off kabisa, na watakudai hata kama ni miaka 20
Unasahau Range ni nzito na inaharibu barabara na mazingira zaidi ya PassoAtakaetumia barabara au atakaetumia mafuta mengi ndio atalipa zaidi? Najua unajiuliza kivipi? Ni hivi toyota passo akiweka lita 10 approximately 20,000 atatembea zaidi ya 100km.
Range rover 4.4i V8 akiweka lita 10 atatembea chini ya 60km. Sasa nani katumia barabara zaidi?!
Itaharibu barabara kama hio barabara iliwekwa kwa ajili ya uzito wa passo.Unasahau Range ni nzito na inaharibu barabara na mazingira zaidi ya Passo
Jaribu kugawanya watu/lita.Pikipiki inayotumia mafuta kidogo inabeba max watu watatu, basi la mkoa linabeba hadi 60, get the point?
Soma tena maelezo yako halafu jikosoe mwenyeweHiii hoja ni dhaifu katika utekelezaji wake.kuna mianya mingi sana ya kiuonezi na kiunyonyaji.
Swali ni vipi italipishwa.ni kwamba itawekwa bei kwa kukadilia kwa lita unazojaza au inakuwaje hapo..itakuwa tofauti pia kati ya aina ya gari na gari au itakuwa fixed?
Je vyombo vingine ambavyo vinatumia mafuta na havitembei barabarani utavitengaje na garama hizoo.mfano majenereta??.
Maswali ni mengi sana.
Sema ungebuniwa utaratibu technolojia now imekuwa.kama ambavyo matumizi ya LUKU nadhani na huku nako ingekuwa hivyo hivyo lipa kadri ya utumiavyo.
Sawa , lakini imepunguza sana usumbufu, wacha tufumbie macho issues ndogo ndogo kama hizoJaribu kugawanya watu/lita.