Hivi ni kwanini road license isilipiwe kwenye mafuta?

Hivi ni kwanini road license isilipiwe kwenye mafuta?

Napendekeza kodi ya majengo kwenye umeme iwe quantity based kama ilivyo kwenye mafuta, na sio kuweka fixed amount, kwamba anaetumia umeme mwingi na umeme kidogo wanawekewa fixed amount, inaondoa ile dhima halisi ya mfumo huu.
 
Bei ya mafuta imekuwa ghali sababu ya kubeneshwa kodi mpya au ni kupanda kwa mafuta ghafi siko la dunia?
 
Kama mafuta yanaweza kulipiwa kodi zote stahiki bandarini, basi hata kodi zingine na pia kwa bidhaa nyingine iwe hivyo hivyo.., mzigo ukifika sokoni watu wawe huru kufanya biashara..
 
 
Back
Top Bottom