Kadogosa: Tutaanzisha tozo za barabara, watu walipie matumizi yake

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amesema Serikali inaweza kuanzisha tozo za matumizi ya barabara na madaraja ili kukabiliana na mahitaji makubwa ya matengenezo na kuhimili athari za ongezeko la matumizi ya miundombinu hiyo. Kadogosa ameyasema hayo leo, Oktoba 28, 2026, wakati akizungumza Bungeni, akieleza kuwa Serikali italazimika kufanya baadhi ya maamuzi magumu kutokana na mahitaji makubwa ya maendeleo nchini.

Amesema uharibifu wa barabara unaochangiwa na magari kuzitumia mara kwa mara, pamoja na kuongezeka kwa uzito wa magari yanayopita, ni miongoni mwa changamoto zinazohitaji hatua za ziada za kifedha. “Msije mkashangaa, Waheshimiwa Wabunge, tuna-introduce road tolls, watu walipie barabara, watu walipie madaraja. Ndiyo vitu ambavyo tutaweza kuhimili haya mabadiliko,” amesema Kadogosa.

Ameongeza kuwa barabara kuonekana kuelemewa kunahusiana pia na kuongezeka kwa shughuli za maendeleo na matumizi ya miundombinu, akitoa wito kwa wabunge kushirikiana na Serikali katika maamuzi yatakayochukuliwa.

Good idea,
well done waziri 🤝
 
Tozo everywhere every corner sah hiv hawana mind za kuja na source mpya ya mapato
 
Vichwa ya viongozi wetu vimejaa matope.Akili zao ni kukamua tozo tu kwa wananchi.Nchi hii inahitaji kupinduliwa ili hawa viongozi vilaza watoke kwa nguvu.Ewe mwananchi jitokeze kwa wingi kesho 29/10/2026 ili tuikomboe nchi yetu
Halafu anasema Wataamua!

Wabunge wawaunge mkono MAAMUZI ya serikali

Hayo ni MAPENDEKEZO ya serikali.

Lakini anajua yatapita tuu, ana akili za mfumo wa CHAMA KIMOJA kichwani. Watu wanaishi na mgando wa chama kimoja cha 1986.
 
Road License ni nini? Na kazi yake ni ipi?

Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amesema Serikali inaweza kuanzisha tozo za matumizi ya barabara na madaraja ili kukabiliana na mahitaji makubwa ya matengenezo na kuhimili athari za ongezeko la matumizi ya miundombinu hiyo. Kadogosa ameyasema hayo leo, Oktoba 28, 2026, wakati akizungumza Bungeni, akieleza kuwa Serikali italazimika kufanya baadhi ya maamuzi magumu kutokana na mahitaji makubwa ya maendeleo nchini.

Amesema uharibifu wa barabara unaochangiwa na magari kuzitumia mara kwa mara, pamoja na kuongezeka kwa uzito wa magari yanayopita, ni miongoni mwa changamoto zinazohitaji hatua za ziada za kifedha. “Msije mkashangaa, Waheshimiwa Wabunge, tuna-introduce road tolls, watu walipie barabara, watu walipie madaraja. Ndiyo vitu ambavyo tutaweza kuhimili haya mabadiliko,” amesema Kadogosa.

Ameongeza kuwa barabara kuonekana kuelemewa kunahusiana pia na kuongezeka kwa shughuli za maendeleo na matumizi ya miundombinu, akitoa wito kwa wabunge kushirikiana na Serikali katika maamuzi yatakayochukuliwa.

Ujinga tu
 
Wenye hayo magari makubwa mazito wako humohumo bungeni, kwanini serikali haitaki kuboresha reli? mizigo yote mikubwa ipite kwa reli?
 
Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amesema Serikali inaweza kuanzisha tozo za matumizi ya barabara na madaraja ili kukabiliana na mahitaji makubwa ya matengenezo na kuhimili athari za ongezeko la matumizi ya miundombinu hiyo. Kadogosa ameyasema hayo leo, Oktoba 28, 2026, wakati akizungumza Bungeni, akieleza kuwa Serikali italazimika kufanya baadhi ya maamuzi magumu kutokana na mahitaji makubwa ya maendeleo nchini.

Amesema uharibifu wa barabara unaochangiwa na magari kuzitumia mara kwa mara, pamoja na kuongezeka kwa uzito wa magari yanayopita, ni miongoni mwa changamoto zinazohitaji hatua za ziada za kifedha. “Msije mkashangaa, Waheshimiwa Wabunge, tuna-introduce road tolls, watu walipie barabara, watu walipie madaraja. Ndiyo vitu ambavyo tutaweza kuhimili haya mabadiliko,” amesema Kadogosa.

Ameongeza kuwa barabara kuonekana kuelemewa kunahusiana pia na kuongezeka kwa shughuli za maendeleo na matumizi ya miundombinu, akitoa wito kwa wabunge kushirikiana na Serikali katika maamuzi yatakayochukuliwa.

Yupo sahihi kabisa ni uataratibu uliyopo duniani kote hata majirani zetu africa, cha muhimu tukilipa tunataka accountabilty na barabara za viwango, siyo kama zambia wameweka road tolls kila kona halafu barabara mbovu , tuwe kama southafrica barabara wanajitahidi kufanya repair kila siku na wanajenga mikeka ya viwango hata kuchangia unasikia raha kwa huduma unayopata
 
Back
Top Bottom