Siyo lazima kuwaiga majirani, huo ni utumwa na ufinyu wa kufikiri, kwanini tusifikirie namna nyingine ili hao majirani waje kujifunza kwetu?Yupo sahihi kabisa ni uataratibu uliyopo duniani kote hata majirani zetu africa,
Tunashindwa nini kutumia fedha za tozo ya barabara inayokatwa kwenye kila lita ya mafuta? viongozi wa nchi hii ni wabinafsi, hebu tuambie fedha ya tozo za simu imekusaidia nini mpaka leo tangu ianzishwetuwe kama southafrica barabara wanajitahidi kufanya repair kila siku na wanajenga mikeka ya viwango hata kuchangia unasikia raha kwa huduma unayopata
ili serikali yoyote duniani ijiendeshe na itoe huduma kwa wananchi lazima kodi na tozo ziwepo, mtu ana magari karibia mia ndani halafu anajaza foleni na kutumia barabara, lazima achangie ili ziweze kuwa bora kila siku ,thats very basic sasa unataka kutumia barabara na magari yako huku hutaki kuchangia matengenezo yake? Na katika nchi ambayo watu wanalipa tozo na kodi kidogo ukanda huu wa afrika ni tanzania ,tupunguze kulalamika road tolls ni muhimu ili kila mtu awajibike na matumizi ya barabara, kama hutaki panda public transportSiyo lazima kuwaiga majirani, huo ni utumwa na ufinyu wa kufikiri, kwanini tusifikirie namna nyingine ili hao majirani waje kujifunza kwetu?
Hatujakataa, hizo tozo zipo kitambo, lakini je zinafanya nini?ili serikali yoyote duniani ijiendeshe na itoe huduma kwa wananchi lazima kodi na tozo ziwepo, mtu ana magari karibia mia ndani halafu anajaza foleni na kutumia barabara, lazima achangie ili ziweze kuwa bora kila siku ,thats very basic sasa unataka kutumia barabara na magari yako huku hutaki kuchangia matengenezo yake? Na katika nchi ambayo watu wanalipa tozo na kodi kidogo ukanda huu wa afrika ni tanzania ,tupunguze kulalamika road tolls ni muhimu ili kila mtu awajibike na matumizi ya barabara, kama hutaki panda public transport
Mkuu huoni barabara zinazojengwa kila kona, na ile hela makandarasi wa ndani wakilipwa inarudi kwenye mzunguko inatufikia mimi na wewe, ukitoka nje ya tanzania ukatembea ndio utagundua tanzania inaendelea kwa kasi na atleast kuna accountability kulinganisha na nchi nyingine, hizi lami na barabara za zege mitaani hela umetoa wewe? Si ndio tozo zako zinajenga, lakini ili tuweze kujenga zaidi na kuzikarabati lazima anayetumia achangie kadri anavyotumiaHatujakataa, hizo tozo zipo kitambo, lakini je zinafanya nini?
CCM hawana kumbukumbu sijui au akili ni shida, zamani ulikuwa na road licence kila gari linalipa kwa kutumia barabara.Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amesema Serikali inaweza kuanzisha tozo za matumizi ya barabara na madaraja ili kukabiliana na mahitaji makubwa ya matengenezo na kuhimili athari za ongezeko la matumizi ya miundombinu hiyo. Kadogosa ameyasema hayo leo, Oktoba 28, 2026, wakati akizungumza Bungeni, akieleza kuwa Serikali italazimika kufanya baadhi ya maamuzi magumu kutokana na mahitaji makubwa ya maendeleo nchini.
Amesema uharibifu wa barabara unaochangiwa na magari kuzitumia mara kwa mara, pamoja na kuongezeka kwa uzito wa magari yanayopita, ni miongoni mwa changamoto zinazohitaji hatua za ziada za kifedha. “Msije mkashangaa, Waheshimiwa Wabunge, tuna-introduce road tolls, watu walipie barabara, watu walipie madaraja. Ndiyo vitu ambavyo tutaweza kuhimili haya mabadiliko,” amesema Kadogosa.
Ameongeza kuwa barabara kuonekana kuelemewa kunahusiana pia na kuongezeka kwa shughuli za maendeleo na matumizi ya miundombinu, akitoa wito kwa wabunge kushirikiana na Serikali katika maamuzi yatakayochukuliwa.
Ile road toll kwenye mafuta imekwenda wapi? Haitoshi au Mweshimiwa hajui kuwa ipo,au mbanga za kazi aonekane.Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amesema Serikali inaweza kuanzisha tozo za matumizi ya barabara na madaraja ili kukabiliana na mahitaji makubwa ya matengenezo na kuhimili athari za ongezeko la matumizi ya miundombinu hiyo. Kadogosa ameyasema hayo leo, Oktoba 28, 2026, wakati akizungumza Bungeni, akieleza kuwa Serikali italazimika kufanya baadhi ya maamuzi magumu kutokana na mahitaji makubwa ya maendeleo nchini.
Amesema uharibifu wa barabara unaochangiwa na magari kuzitumia mara kwa mara, pamoja na kuongezeka kwa uzito wa magari yanayopita, ni miongoni mwa changamoto zinazohitaji hatua za ziada za kifedha. “Msije mkashangaa, Waheshimiwa Wabunge, tuna-introduce road tolls, watu walipie barabara, watu walipie madaraja. Ndiyo vitu ambavyo tutaweza kuhimili haya mabadiliko,” amesema Kadogosa.
Ameongeza kuwa barabara kuonekana kuelemewa kunahusiana pia na kuongezeka kwa shughuli za maendeleo na matumizi ya miundombinu, akitoa wito kwa wabunge kushirikiana na Serikali katika maamuzi yatakayochukuliwa.
Ni kweli. Kwani zinazotozwa kwenye kila lita 1 ya mafuta ni za nini?Usikute waziri hajui kama hizo tozo tayari zipo
Upuuzi na kuwekana kwenye nafasi licha ya kutokuwa na sifa za kupata nafasi hiyo.Sikujua Kadogosa ni waziri.... aiseee
Huyu alishindwa kuendesha UDART na Reli. Kwa nn alionekana anafaa kuteuliwa ubunge na uwaziri ????
Za matengenezo ya barabaraNi kweli. Kwani zinazotozwa kwenye kila lita 1 ya mafuta ni za nini?