Hivi ni kwanini road license isilipiwe kwenye mafuta?

Tatizo ni pale wanapoendelea kudai hata kama gari liko garage au lilisha haribika levle ya scrape.
 
Tatizo ni pale wanapoendelea kudai hata kama gari liko garage au lilisha haribika levle ya scrape.
Unaweza kuta hata lilishapata ajali, tena limekuwa write off kabisa, na watakudai hata kama ni miaka 20
 
Naunga mkono hoja, kuhusu watumiaji kama pump za Maji, generators kwamba watabanwa wakt hawatumii barabara haina mashiko kwavile bado zipo kodi zinazotozwa kutoka katika kila Lita ya mafuta kwa ajili ya mfuko wa barabara. Kwahiyo ukinunua mafuta ulipie kabisa na road license ili kuondoa usumbufu Na kurahisisha ukusanyaji kama mtoa mada alivyopendekeza
 
Lipa kodi mkuu,ukiwa na gari usiogope stika!
Kwenye mafuta unalipa road toll
 
 
Pikipiki inayotumia mafuta kidogo inabeba max watu watatu, basi la mkoa linabeba hadi 60, get the point?
 
Unaweza kuta hata lilishapata ajali, tena limekuwa write off kabisa, na watakudai hata kama ni miaka 20
Lakini ukiandika barua kwa mamlaka husika si wanalifuta kwenye system, hivyo hutaendelea kulilipia tena?
 
Unasahau Range ni nzito na inaharibu barabara na mazingira zaidi ya Passo
 
malipo ya leseni hayalipwi kwa kadiri mtu anavyotumia au anavyoingiza mapato

malipo ya leseni yanakuwa fixed sio variable....
 
Hiii hoja ni dhaifu katika utekelezaji wake.kuna mianya mingi sana ya kiuonezi na kiunyonyaji.

Swali ni vipi italipishwa.ni kwamba itawekwa bei kwa kukadilia kwa lita unazojaza au inakuwaje hapo..itakuwa tofauti pia kati ya aina ya gari na gari au itakuwa fixed?

Je vyombo vingine ambavyo vinatumia mafuta na havitembei barabarani utavitengaje na garama hizoo.mfano majenereta??.


Maswali ni mengi sana.
Sema ungebuniwa utaratibu technolojia now imekuwa.kama ambavyo matumizi ya LUKU nadhani na huku nako ingekuwa hivyo hivyo lipa kadri ya utumiavyo.
 
Soma tena maelezo yako halafu jikosoe mwenyewe
 
Hii kero ya road license ilitesa sana wenye magari kupanga foleni kulipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…